Kama kwetu hapa kuna chombo kinaitwa NECTA, ni chombo cha hovyo sana! Mwanafunzi anakuwa na ndoto za kufika mbali sana ila hukwamishwa kwa kigezo kuwa kafeli, hawezi kuendelea na masomo kwa kuwa hakufikisha alama walizozipanga wao ili wamtangazie amefaulu. Unakuta mwanafunzi anaishia kitado cha nne au sita, chuo kikuu hafiki. Yale maarifa na ujuzu alioupata kuanzia kidato cha kwanza yanapotea na muda nao unatumika bure inakuwa ni hasara tupu. Inabidi mwanafunzi aanze upya kujitafuta mtaani afanye shughuli gani ainuke nje na ujuzi na maarifa aliyoyapata tangu form one hadi four/six. Unakuta mtu anajua maths, physics, chemistry, bios, geography, english yupoyupo tu mtaani haajiriki kisa alifeli form four/six, kwani mwanafunzi anaenda shuleni kufeli? Ni aibu kwa watunga sera ya elimu! shame on them