Walimu wa Chuo Kikuu cha Kilimo na Teknolojia cha Mwl.Nyerere wakaa Miaka 14 bila kufundisha kwa kukosa Wanafunzi

Walimu wa Chuo Kikuu cha Kilimo na Teknolojia cha Mwl.Nyerere wakaa Miaka 14 bila kufundisha kwa kukosa Wanafunzi

Ukiajiliwa huko unajifanyia mambo yako tu
Kama mshahara wa wakufunzi unaingia poa tu ,nchi yenyewe
Wanaotaka kusoma watokee wpi
Kila kijana,mtoto anataka kuwa mkata
Mauno tu,hawa sahv ndiyo wana wa inspire watoto nao wawe kama wao

Ova
Screenshot_20230122_090250_WhatsApp.jpg
 
Moja kwa Moja kwenye mada..

Walimu na wakufunzi wa Chuo Kikuu Cha Kilimo na Teknolojia Cha mwl.Nyerere kilichopo Butiama Mkoani Mara wamekaa miaka 14 Bila kufundisha huku wakipokea mshahara..

Hali hii imetokana na Kukosa Wanafunzi na madarasa..

Swali,Kwa nini Serikali isifute hivi vyuo vikuu vya Kisiasa? Kuna kingine kule Katavi sidhani kama kina Wanafunzi..

Haya ndio matokeo ya kuanzisha miundombinu isiyohitajika mahali pasipohitajika kama vile chato airport, Butiama University, University of Katavi, nk. Miundombinu hii ingewekwa mikoa kama Dar, mwanza, Arusha, Kilimanjaro isingekosa ufanisi.
 
Moja kwa Moja kwenye mada..

Walimu na wakufunzi wa Chuo Kikuu Cha Kilimo na Teknolojia Cha mwl.Nyerere kilichopo Butiama Mkoani Mara wamekaa miaka 14 Bila kufundisha huku wakipokea mshahara..

Hali hii imetokana na Kukosa Wanafunzi na madarasa..

Swali,Kwa nini Serikali isifute hivi vyuo vikuu vya Kisiasa? Kuna kingine kule Katavi sidhani kama kina Wanafunzi..

Huu ndo Uchawi waaxhe wale mema
 
Watumishi wa namna hiyo wapo wengi nchini, mfano angali wale askari wa uokozi/fire, na wale askari wa kuzamia majini pindi inapotokea ajali, yule drever wa magari ya fire inawezekana mpaka anastaafu hapajawahi kutokea ajali ya moto katka eneo lake, kama ni hivyo mshahara wake wa kila mwezi ni wakazi gani?
 
Tofautisha basi... Hao unaowasemea ni wa mambo ya dharura. Dharura inaweza isitokee... Unataka kusema tusiwe na Jeshi kwakuwa mara ya mwisho tumepigana na Idd Amin mwaka 1978?

Hizi shule siku hizi mnasomea ujinga?
 
Ulishawahi kwenda kambini ukaona kazi zinazofanywa na wanajeshi? Au wewe unadhani jeshi ni vita tuu? Niambie yule dreva wa gari la zimamoto anafanya kazi gani nyingine?
 
Ujue nyie watu wa vyeti feki mna matatizo sana,sasa Magufuli anahusikaje na kufail kwa hicho chuo?
Sio hicho chuo pekee bali pia na kufeli kwa chato airport, Air Tanzania, Chato-Burigi national park, na miradi mingi mingine aliyoianzisha bila fikra na sababu nzuri.
 
Sasa yeye mzalendo na shujaa namba moja Tanzania angetakiwa akifutilie mbali au akisimamie kianze. Yeye akawa bize na wafanyakazi hewa bila kujua hata hicho chuo hewa kina wafanyakazi hewa,, Airport Chato, Risasi kwa Tundu Lissu, kuwapoteza Kina Ben na kununua kuku njiani....

Mzalendo namba moja kumbe hakuwa tofauti na mijamaa myenzake aliyokuwa anaisuta na kuilalamikia kila uchao
Alifuta vyuo vingi, vingine vilikuwa kwenye briefcase tu, lakini wanakula hela za bodi ya mikopo kwa wanafunzi hewa, bado mlimtukana na kumlaani sana, angefuta na hicho mngejinyea kabisa hadharani
 
Tunataka kukuza Kilimo kwa kuua vyuo vya Kilimo na kuongeza vieti...harafu tunalalamika Wakenya kuingia hadi Songea na magari yao kununua chakula au kulima kabisa...hicho kitu sisi hatuwezi kufanya kwao ukivuka tuu mpaka wa Namanga..
 
Alifuta vyuo vingi, vingine vilikuwa kwenye briefcase tu, lakini wanakula hela za bodi ya mikopo kwa wanafunzi hewa, bado mlimtukana na kumlaani sana, angefuta na hicho mngejinyea kabisa hadharani
Kwahiyo mzalendo kumbe alikuwa mwoga akaogopa kutukanwa?

Mzalendo mwoga madafaka
 
Ulishawahi kwenda kambini ukaona kazi zinazofanywa na wanajeshi? Au wewe unadhani jeshi ni vita tuu? Niambie yule dreva wa gari la zimamoto anafanya kazi gani nyingine?
Hapa nipo kambi ya jeshi. Na nimekulia jeshini. Ukitaka kuhoji ufahamu wa yanayijiri jeshini unakaribishwa... Ila ukiijifanya mjuaji basi jibizana na watoto wenzio...
 
Kile Chuo kimewekewa jiwe la msingi seven years ago. Kimekuwa miaka kumi na nne vipi?
Kuhusu kukosa wanafunzi,ndio,mi niliona kama mambo yanafanywa,Chuo kinajengwa ,bila consultation.
 
Chuo kikuu cha kilimo na teknolojia cha Butiama kilichopo wilaya ya Butiama mkoani Mara hakina wanafunzi miaka 13 sasa. Chuo hicho kinabeba jina la baba wa Taifa hakijawahi kusajili mwanafunzi hata mmoja tangu kuanzishwa kwake mwaka 2010.

Chuo hicho kina mkuu wa chuo na wakufunzi ambao wanalipwa mshahara kila mwezi kwa miaka 13 bila kufundisha mtu yeyote. Pia kina gharama nyingine nyingi za uendeshaji.

======

Mwalimu Nyerere University of Agriculture and Technology in Butiama district, Mara region, has been without students for 13 years.

The college, which bears the name of Tanzania's founding father Julius Nyerere and is located at his birthplace, Butiama, has lecturers and the head of the college, but no student was ever enrolled at the college during the entire period.

This was revealed after the Parliament's Standing Committee on Services and Community Development visited and inspected the development of the college, which was established in 2010.

The members of the committee seemed surprised, and others were angered, by the state of the higher education institution.

"The chancellor of the college and your staff, I feel so sorry for you. You have been tortured for a very long time by being placed in Butiama for all those years without students," said Ms Husna Sekiboko, a member of the committee.

Citizen
 
Back
Top Bottom