Walimu wa Chuo Kikuu cha Kilimo na Teknolojia cha Mwl.Nyerere wakaa Miaka 14 bila kufundisha kwa kukosa Wanafunzi

Walimu wa Chuo Kikuu cha Kilimo na Teknolojia cha Mwl.Nyerere wakaa Miaka 14 bila kufundisha kwa kukosa Wanafunzi

Kwani hicho chuo si kiliwekwa mahali palipokua shule ya sekondari Oswald Mang'ombe?

Na kama ndipo kilipo basi hakijaanza miaka 13 unayosema maana mdogo wangu ame-graduate pale form six 2016, hivyo basi hakina zaidi ya miaka 8. Kuhusu kua na wanafunzi sina taarifa zozote.
 
Chuo kikuu cha kilimo na teknolojia cha Butiama kilichopo wilaya ya Butiama mkoani Mara hakina wanafunzi miaka 13 sasa. Chuo hicho kinabeba jina la baba wa Taifa hakijawahi kusajili mwanafunzi hata mmoja tangu kuanzishwa kwake mwaka 2010.

Chuo hicho kina mkuu wa chuo na wakufunzi
Mnatuchanganya! Hii habari yakuanza ujenz mbona ya June 2021?
 
Hebu wekeni kwanza Majengo ya hicho chuo kabla hatujabishana kuhusu kutokuwepo wanafunzi, usikute miundombinu ni madarasa mawili
Screenshots_2023-01-23-13-43-54.png
 
1. Wanaoajiriwa Wana sifa gani? GPA tu? Makada ndo wanapewa kipaumbele? Viongozi wa vyama vya wanafunzi ili kulipa fadhila?
2. Wanafanya tafiti?
3. Incentives za kufanya tafiti kuchapisha katika majarida ya kitaaluma ipoje?
 

Attachments

  • VID-20230123-WA0002.mp4
    12.2 MB
  • VID-20230122-WA0014.mp4
    15.6 MB
Moja kwa Moja kwenye mada..

Walimu na wakufunzi wa Chuo Kikuu Cha Kilimo na Teknolojia Cha mwl.Nyerere kilichopo Butiama Mkoani Mara wamekaa miaka 14 Bila kufundisha huku wakipokea mshahara..

Hali hii imetokana na Kukosa Wanafunzi na madarasa..

Swali,Kwa nini Serikali isifute hivi vyuo vikuu vya Kisiasa? Kuna kingine kule Katavi sidhani kama kina Wanafunzi..


Muda mrefu Chuo kinatumika kama Siberia kwa Wahadhiri wa Vyuo vya umma. Inakuwa sehemu ya kuadhibu watu wasiowataka mara kwa sababu za kudhalimu kabisa. Kama vile zamani watumishi kupelekwa Mtwara. Safari ya mwezi mzima wakati wa masika
 
Dogo usikate tamaa mapema... jitahidi unapoitwa kwenye interview kua very smart... Tanzania inaenda kuwa kama nchi za India na Nigeria kwa high population... nchi ikiwa na Population kubwa hivyo hivyo Survival for fitness inakua kubwa... High intelligent ( High IQ+ High Skills ) ndio wanaopata nafasi chache katika watu wengi ktk ajira.... hii pia inategemea products zinazozalishwa kutoka vyuoni.. yaani chuo A kinaweza kutofautiana na chuo B kwa Products zake..katika soko la Ajira... regardless of the GPA/ Skills ulizozipata katika chuo A au chuo B
 
1. Wanaoajiriwa Wana sifa gani? GPA tu? Makada ndo wanapewa kipaumbele? Viongozi WA vyama vya wanafunzi ili kulipa fadhila?
2. Wanafanya tafiti?
3. Incentives za kufanya tafiti kuchapisha katika majarida ya kitaaluma ipoje?
Mkuu jiingize huko katika siasa hutajuta
 
Chuo kikuu cha kilimo na teknolojia cha Butiama kilichopo wilaya ya Butiama mkoani Mara hakina wanafunzi miaka 13 sasa. Chuo hicho kinabeba jina la baba wa Taifa hakijawahi kusajili mwanafunzi hata mmoja tangu kuanzishwa kwake mwaka 2010.

Chuo hicho kina mkuu wa chuo na wakufunzi ambao wanalipwa mshahara kila mwezi kwa miaka 13 bila kufundisha mtu yeyote. Pia kina gharama nyingine nyingi za uendeshaji.

======

Mwalimu Nyerere University of Agriculture and Technology in Butiama district, Mara region, has been without students for 13 years.

The college, which bears the name of Tanzania's founding father Julius Nyerere and is located at his birthplace, Butiama, has lecturers and the head of the college, but no student was ever enrolled at the college during the entire period.

This was revealed after the Parliament's Standing Committee on Services and Community Development visited and inspected the development of the college, which was established in 2010.

The members of the committee seemed surprised, and others were angered, by the state of the higher education institution.

"The chancellor of the college and your staff, I feel so sorry for you. You have been tortured for a very long time by being placed in Butiama for all those years without students," said Ms Husna Sekiboko, a member of the committee.

Citizen
Hii nchi ni ngumu sana! Ukisoma magazeti na habari Kwa ujumla utaona sifa za kukua Kwa uchumi, Elimu, Kilimo na mengine mengi. JuI tumeambiwa Kilimo kimekua kwa asilimia 1.4
Leo hakuna wanafunzi. Sasa Kilimo kinakuaje na wataalamu hakuna.

Rudi huku Nyuma nako mitaala ya Shule zetu ni hivyo zisizomsaidia mwanafunzi akimaliza.
Technolojia inakua Kwa Kasi badilisheni mitaala.
Sasa zinakuja gari za kuchaji Kwa umeme sijui sisi tunaenda wapi.
 
Back
Top Bottom