Walimu wa Chuo Kikuu cha Kilimo na Teknolojia cha Mwl.Nyerere wakaa Miaka 14 bila kufundisha kwa kukosa Wanafunzi

Walimu wa Chuo Kikuu cha Kilimo na Teknolojia cha Mwl.Nyerere wakaa Miaka 14 bila kufundisha kwa kukosa Wanafunzi

Financing ya miundombinu ilichelewa. Ujenzi naamini ndio umeanza. Lakini chuo kilianzishwa kisiasa bila matayarisho ya kutosha.
 
Kwaio Mkoa mzima wa Mara hakuna wanaoaply cos zinazohusi kilimo!
 
Financing ya miundombinu ilichelewa. Ujenzi naamini ndio umeanza. Lakini chuo kilianzishwa kisiasa bila matayarisho ya kutosha.
Uwanja wa ndege Chato sasa tunaanikia Mihogo? Hospital ya rufaa sasa vitanda ni vya kupumzikia tukitoka shambani? CRDB Bank ni kijiwe cha bodaboda?
 
Moja kwa Moja kwenye mada..

Walimu na wakufunzi wa Chuo Kikuu Cha Kilimo na Teknolojia Cha mwl.Nyerere kilichopo Butiama Mkoani Mara wamekaa miaka 14 Bila kufundisha huku wakipokea mshahara..

Hali hii imetokana na Kukosa Wanafunzi na madarasa..

Swali,Kwa nini Serikali isifute hivi vyuo vikuu vya Kisiasa? Kuna kingine kule Katavi sidhani kama kina Wanafunzi..


Hii sio kweli, hicho chuo kilianzishwa baada ya shule ya sekondari iliyokwepo hapo (Oswald Mang'ombe Secondary School) kuhamishwa mwaka 2016 kwa hiyo ni miaka 6 tu imepita na sio miaka 14.
 
Hao walimu na wakufunzi sio hawajielewi unakaaje miaka 14 bila kufundisha kwani chuo hakina program za short course na workshop hata kwa watumishi wa umma wa maeneo hayo si bora wangeweka utaratibu wa kuwatembelea wakulima wakawafundishe direct aliyewaambia ukiwa mkufunzi ni kukaa na kusubir wanafunzi ni nani ?? Hizo akili za wapi..

They are doing outreach services to local communities
 
Back
Top Bottom