Kama mshahara wa wakufunzi unaingia poa tu ,nchi yenyeweUkiajiliwa huko unajifanyia mambo yako tu
Haya ndio matokeo ya kuanzisha miundombinu isiyohitajika mahali pasipohitajika kama vile chato airport, Butiama University, University of Katavi, nk. Miundombinu hii ingewekwa mikoa kama Dar, mwanza, Arusha, Kilimanjaro isingekosa ufanisi.Moja kwa Moja kwenye mada..
Walimu na wakufunzi wa Chuo Kikuu Cha Kilimo na Teknolojia Cha mwl.Nyerere kilichopo Butiama Mkoani Mara wamekaa miaka 14 Bila kufundisha huku wakipokea mshahara..
Hali hii imetokana na Kukosa Wanafunzi na madarasa..
Swali,Kwa nini Serikali isifute hivi vyuo vikuu vya Kisiasa? Kuna kingine kule Katavi sidhani kama kina Wanafunzi..
Magufuli alikuwa na utendaji wa hovyo sana! Tunashukuru tu Mungu kwani tungekwisha!Nadhani kukifuta sio suluhu lbd wakifanye campus ya SUA
Huu ndo Uchawi waaxhe wale memaMoja kwa Moja kwenye mada..
Walimu na wakufunzi wa Chuo Kikuu Cha Kilimo na Teknolojia Cha mwl.Nyerere kilichopo Butiama Mkoani Mara wamekaa miaka 14 Bila kufundisha huku wakipokea mshahara..
Hali hii imetokana na Kukosa Wanafunzi na madarasa..
Swali,Kwa nini Serikali isifute hivi vyuo vikuu vya Kisiasa? Kuna kingine kule Katavi sidhani kama kina Wanafunzi..
Tofautisha basi... Hao unaowasemea ni wa mambo ya dharura. Dharura inaweza isitokee... Unataka kusema tusiwe na Jeshi kwakuwa mara ya mwisho tumepigana na Idd Amin mwaka 1978?Watumishi wa namna hiyo wapo wengi nchini, mfano angali wale askari wa uokozi/fire, na wale askari wa kuzamia majini pindi inapotokea ajali, yule drever wa magari ya fire inawezekana mpaka anastaafu hapajawahi kutokea ajali ya moto katka eneo lake, kama ni hivyo mshahara wake wa kila mwezi ni wakazi gani?
Wakiunga na SUA tu wameharibu,pale SUA tractor zote zimekufa,kilimo cha mdomoni ndio kipo pale.Nadhani kukifuta sio suluhu lbd wakifanye campus ya SUA
Ulishawahi kwenda kambini ukaona kazi zinazofanywa na wanajeshi? Au wewe unadhani jeshi ni vita tuu? Niambie yule dreva wa gari la zimamoto anafanya kazi gani nyingine?Tofautisha basi... Hao unaowasemea ni wa mambo ya dharura. Dharura inaweza isitokee... Unataka kusema tusiwe na Jeshi kwakuwa mara ya mwisho tumepigana na Idd Amin mwaka 1978?
Hizi shule siku hizi mnasomea ujinga?
Kwasababu wanasiasa wanatupiga na vitu vizito kila siku na tuko kimyaHuu ndo Uchawi waaxhe wale mema
Ujue nyie watu wa vyeti feki mna matatizo sana,sasa Magufuli anahusikaje na kufail kwa hicho chuo?Magufuli alikuwa na utendaji wa hovyo sana! Tunashukuru tu Mungu kwani tungekwisha!
Sio hicho chuo pekee bali pia na kufeli kwa chato airport, Air Tanzania, Chato-Burigi national park, na miradi mingi mingine aliyoianzisha bila fikra na sababu nzuri.Ujue nyie watu wa vyeti feki mna matatizo sana,sasa Magufuli anahusikaje na kufail kwa hicho chuo?
πππππ§π§π¨π¨πͺπͺπͺπͺππUjue nyie watu wa vyeti feki mna matatizo sana,sasa Magufuli anahusikaje na kufail kwa hicho chuo?
Alifuta vyuo vingi, vingine vilikuwa kwenye briefcase tu, lakini wanakula hela za bodi ya mikopo kwa wanafunzi hewa, bado mlimtukana na kumlaani sana, angefuta na hicho mngejinyea kabisa hadharaniSasa yeye mzalendo na shujaa namba moja Tanzania angetakiwa akifutilie mbali au akisimamie kianze. Yeye akawa bize na wafanyakazi hewa bila kujua hata hicho chuo hewa kina wafanyakazi hewa,, Airport Chato, Risasi kwa Tundu Lissu, kuwapoteza Kina Ben na kununua kuku njiani....
Mzalendo namba moja kumbe hakuwa tofauti na mijamaa myenzake aliyokuwa anaisuta na kuilalamikia kila uchao
Kwahiyo mzalendo kumbe alikuwa mwoga akaogopa kutukanwa?Alifuta vyuo vingi, vingine vilikuwa kwenye briefcase tu, lakini wanakula hela za bodi ya mikopo kwa wanafunzi hewa, bado mlimtukana na kumlaani sana, angefuta na hicho mngejinyea kabisa hadharani
Hapa nipo kambi ya jeshi. Na nimekulia jeshini. Ukitaka kuhoji ufahamu wa yanayijiri jeshini unakaribishwa... Ila ukiijifanya mjuaji basi jibizana na watoto wenzio...Ulishawahi kwenda kambini ukaona kazi zinazofanywa na wanajeshi? Au wewe unadhani jeshi ni vita tuu? Niambie yule dreva wa gari la zimamoto anafanya kazi gani nyingine?