Mnatuchanganya! Hii habari yakuanza ujenz mbona ya June 2021?Chuo kikuu cha kilimo na teknolojia cha Butiama kilichopo wilaya ya Butiama mkoani Mara hakina wanafunzi miaka 13 sasa. Chuo hicho kinabeba jina la baba wa Taifa hakijawahi kusajili mwanafunzi hata mmoja tangu kuanzishwa kwake mwaka 2010.
Chuo hicho kina mkuu wa chuo na wakufunzi
Hebu wekeni kwanza Majengo ya hicho chuo kabla hatujabishana kuhusu kutokuwepo wanafunzi, usikute miundombinu ni madarasa mawili
Muda mrefu Chuo kinatumika kama Siberia kwa Wahadhiri wa Vyuo vya umma. Inakuwa sehemu ya kuadhibu watu wasiowataka mara kwa sababu za kudhalimu kabisa. Kama vile zamani watumishi kupelekwa Mtwara. Safari ya mwezi mzima wakati wa masikaMoja kwa Moja kwenye mada..
Walimu na wakufunzi wa Chuo Kikuu Cha Kilimo na Teknolojia Cha mwl.Nyerere kilichopo Butiama Mkoani Mara wamekaa miaka 14 Bila kufundisha huku wakipokea mshahara..
Hali hii imetokana na Kukosa Wanafunzi na madarasa..
Swali,Kwa nini Serikali isifute hivi vyuo vikuu vya Kisiasa? Kuna kingine kule Katavi sidhani kama kina Wanafunzi..
Mkuu jiingize huko katika siasa hutajuta1. Wanaoajiriwa Wana sifa gani? GPA tu? Makada ndo wanapewa kipaumbele? Viongozi WA vyama vya wanafunzi ili kulipa fadhila?
2. Wanafanya tafiti?
3. Incentives za kufanya tafiti kuchapisha katika majarida ya kitaaluma ipoje?
Hii nchi ni ngumu sana! Ukisoma magazeti na habari Kwa ujumla utaona sifa za kukua Kwa uchumi, Elimu, Kilimo na mengine mengi. JuI tumeambiwa Kilimo kimekua kwa asilimia 1.4Chuo kikuu cha kilimo na teknolojia cha Butiama kilichopo wilaya ya Butiama mkoani Mara hakina wanafunzi miaka 13 sasa. Chuo hicho kinabeba jina la baba wa Taifa hakijawahi kusajili mwanafunzi hata mmoja tangu kuanzishwa kwake mwaka 2010.
Chuo hicho kina mkuu wa chuo na wakufunzi ambao wanalipwa mshahara kila mwezi kwa miaka 13 bila kufundisha mtu yeyote. Pia kina gharama nyingine nyingi za uendeshaji.
======
Mwalimu Nyerere University of Agriculture and Technology in Butiama district, Mara region, has been without students for 13 years.
The college, which bears the name of Tanzania's founding father Julius Nyerere and is located at his birthplace, Butiama, has lecturers and the head of the college, but no student was ever enrolled at the college during the entire period.
This was revealed after the Parliament's Standing Committee on Services and Community Development visited and inspected the development of the college, which was established in 2010.
The members of the committee seemed surprised, and others were angered, by the state of the higher education institution.
"The chancellor of the college and your staff, I feel so sorry for you. You have been tortured for a very long time by being placed in Butiama for all those years without students," said Ms Husna Sekiboko, a member of the committee.
Citizen
Kabudi kanifundisha ujueMwanasheria unataka urudi ukavae viatu vya kabudi utaweza?[emoji16]