Walimu wa Chuo Kikuu cha Kilimo na Teknolojia cha Mwl.Nyerere wakaa Miaka 14 bila kufundisha kwa kukosa Wanafunzi

Sina cha kuongezea, acha iwe hivyo
 
Financing ya miundombinu ilichelewa. Ujenzi naamini ndio umeanza. Lakini chuo kilianzishwa kisiasa bila matayarisho ya kutosha.
 
Kwaio Mkoa mzima wa Mara hakuna wanaoaply cos zinazohusi kilimo!
 
Financing ya miundombinu ilichelewa. Ujenzi naamini ndio umeanza. Lakini chuo kilianzishwa kisiasa bila matayarisho ya kutosha.
Uwanja wa ndege Chato sasa tunaanikia Mihogo? Hospital ya rufaa sasa vitanda ni vya kupumzikia tukitoka shambani? CRDB Bank ni kijiwe cha bodaboda?
 
TCU imeshindwa kupeleka wanafunzi??
 
Hii sio kweli, hicho chuo kilianzishwa baada ya shule ya sekondari iliyokwepo hapo (Oswald Mang'ombe Secondary School) kuhamishwa mwaka 2016 kwa hiyo ni miaka 6 tu imepita na sio miaka 14.
 

They are doing outreach services to local communities
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…