Walimu wa Chuo Kikuu cha Kilimo na Teknolojia cha Mwl.Nyerere wakaa Miaka 14 bila kufundisha kwa kukosa Wanafunzi

🙄🙄
 
Daaah! Jina la Baba wa Taifa, nyumbani Kwa Baba wa Taifa. Kilimo ni sekta yenye watu wengi wanaoitegemea nchini. Teknolojia ni zama zake na hakwepeki.
Tuulizane kimyakimya je?ni kweli Serikali ilikuwa haipewi Taarifa Hadi mwaka wa 14?
 
Halafu tulikuwa tunaimbishwa nyimbo eti kilimo ni uti wa mgongo wa Nchi yetu !!
 
Kwani nao wanayo mavieite ? Watawafikiaje hao wakulima ?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…