Walimu wa shule za awali na shule za msingi pamoja na wazazi kwa ujumla

mbona povu mwalimu?? nimewasakama wapi?? hebubsoma tena, tuliza jazba na munkari soma kwa kushusha presha uliyonayo utanielewa, sjakuja kumsakama mtu na kama umeona hivyo hio ni point yako of view mie hayanihisu.
Ahaaa! Haya nimetuliza jazba ,munkari na nimesha shusha presha ngoja sasa nisome tena.
 
Ahaaa! Haya nimetuliza jazba ,munkari na nimesha shusha presha ngoja sasa nisome tena.
hukupaswa kutoa lugha kali kama "mshenzi" kwa kosa gani?? je ni hili bandiko au unafundo lako moyoni lenye kunihusu??
 
hukupaswa kutoa lugha kali kama "mshenzi" kwa kosa gani?? je ni hili bandiko au unafundo lako moyoni lenye kunihusu??
Mie sina fundo na wewe tatizo mwanzo niliandika nikiwa na hivyo vitu ulivyo nishauri vingine nivishushe na nimetii ushauri wako nimevishusha na sahizi niko normal , sasa nisamehe mimi nimekosa mimi ,nimekosa sana.
 
usijali, maisha yaendelee
 
Hiyo tisa kumi hii hapa
Kule Kibaha nadhani itakua Dar au mkoa wa Pwani, Kuna mmiliki wa shule ya watoto wadogo ambaye Ni punga. Story ime trend Sana. Wanasema na watoto wameanza huo mchezo mchafu. Mfichuaji ameenda mbele zaidi na kumtaja mhusika, shule mpaka namba yake ya simu na kuingeza kwamba ana bwanake anayemkula MTU mkubwa Sana serekalini.
 
mh mh haya mambo yaskie kwa mwenzio na tuombe yastukute, Mungu aepushilie mbali
 
Hepatitis sawa , ila HIV kuambukiza kwa mate ni ngumu sana labda mgonjwa awe stage 3 au 4 ya ugonjwa na tena awe anaumwa magonjwa nyemelezi
 
Mbarikiwe mkuu kwa namna mnavyohandle hawa watoto aseeeh

Trust na utii waliyonayo juu yenu ni kubwa sana.

Tena ngoja nipeleke mkono wa Eid kwa ticha yake binti yangu.
 
Walipemi walimu mishahara minono na muwaheshimu acheni kuwananga mtaani na humu mitandaoni wataifanga kazi zao kwa weledi

Otherwise Kila atadili na shida zake.

Huwezi kumdharau mwalimu halafu unampelekea mwanao akufundhishie na kumwangalia masaa 8.

Akiaamza kuchapa tu hio mitoto yenu ya akina Spong bob mnawaka kweli kweli.

Haya mtoto wako huyo hapo.

Jamii ibadilike.

Na walimu wabadilike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…