Walimu wa shule za awali na shule za msingi pamoja na wazazi kwa ujumla

Walimu wa shule za awali na shule za msingi pamoja na wazazi kwa ujumla

Shuleni jukumu la mwalimu kwa mantiki gani kwani mwalimu kazi yake si kufundisha, watoro wakipogana mwalimu afanye Nini.
mkuu sjakataa jukum lake n kufundisha lakini mwalim anasimama kama mzazipindi mtoto awapo shuleni ndio mana tunaitwa linapotokea kosa ingekua haina haja hio shule zingekua kichaka kimoja kibaya sana cha kujifichia
 
Naomba mfano watoto wanapigana mwalimu afanyeje Hapo??
 
kuwaachanisha, kuwaamuru kutulia, kutumia kiboko kama moja ya adhabu,
Alafu ukimchapa kaumia mzazi aje shule kukupiga ngumi na kukwambia kazi yako sio kupiga watoto wetu.

Wana JF wasemw walimu Wana stress wanamaliza kwa watoto sindivyo
 
Alafu ukimchapa kaumia mzazi aje shule kukupiga ngumi na kukwambia kazi yako sio kupiga watoto wetu.

Wana JF wasemw walimu Wana stress wanamaliza kwa watoto sindivyo
ngoja nikuambie kitu sisi tulikaa kikao tukakubaliana watoto wakizidi wapewe viboko sio vya kuumiza vya kufunza adabu na tukaambiana mzaz ikatokea either mtoto wako amepigwa au kaumizwa uje shuleni uone wahusika, wanafunzi hawafiki 25 hilo darasa so you can imagine jinsi walim wanavyoweza kuwamanage kwa idadi yao inaelekea mmekutana na wazaz wa aina hio kias mnatuona sote tuko hivohivo, mkuu mtoto wangu ameshaniambia zaidi ya mara mbili nimechapwa na hua namuulza kisa nn ananambia nimeshindwa kusoma letter u na mm namwambia unastahili kuchapwa kwa sababu hauko makini kesho ue makini ukiweza kusoma mwalim hakuchapi and yes ikawa hivyo, niko tofauti sana mim sipend kuhukum bila kujua chanzo,
 
Ukimwi siyo tishio pekee. Kuna homa ya ini, kifua kikuu, n.k.
very well na hio homa ya ini sio kwa shule tu hata sisi tulioko nje tuko kwenye risk kubwa sana, mim kilichonistua n mtoto kumng'atamwenzie il hal najua n mgonjwa na mwalim hana habari ndio kujua walim hawana walijualo
 
Daah kweli kabisa inahitajika tuwe makini..
Kwa upande wangu mi niko makini sana kuanzia kumsimamia mtoto wakati wowote.

Makosa madogo madogo kama hayo hutokea endapo mwalimu nikishindwa kuwa miliki watoto.

Hii iliwahi nitokea japo haitokuja tokea tena.. mtoto mtundu sana katika kucheza alijigonga akaumia kichwani japo sio kivile.
Ila mzazi wake aliongea kidogo ila alinifundisha kitu "" wakati mtoto wangu anaumia wewe ulikua wapi""

Tangu hapo mi kesi za watoto hazijawahi nisumbua ,
Changamoto nyingine iliyokuja nikuta ni kipindi fulani uliibuka ugonjwa wa vipele daah sasa ishu ikawa wazazi hawaelewi an lawama tuu.
As if hawaelewi kuwa haya mambo ya kuambukiza nikisema nifunge kituo wanagoma daah

Watoto ni wa kuwa nao makini sana na mzazi anapofika lazima atoe information zote za mtoto husika an sio unapokea mtoto kiholela end of day yakija kutokea unaweza pata kesi kubwa sana
Safi mkuu...japo sijapenda wewe kujiita poor brain na brain yako ipo na ubora mzuri hivyo😀
 
Mwl. alitakiwa awadhibiti mara moja.
Jamii zetu hizi zinachangamoto sana kwenye utoaji wa taarifa za siri za mtu binafsi, bila shaka taarifa kuhusu afya ya wazazi imesambazwa na wahudumu wa CTC, wengi wao mafriji yao hayagandishi. Ifike wakati wawe wanaangalia watu wa kuwaweka pale kwa ajili ya huduma na usiri wa taarifa za wagonjwa wao.
 
watoa huduma ya ctc hata wanasingiziwa ni wao wenyewe mke na mume na jamii nzima tunaoishi nao tunajua hali zao hata halina sir mtaani, hope walim wameshajua sasa watajua namna ya kuongeza umakini kwenye michezo ya wanafunzi wao, mimi sikatai wacheze pamoja ila mambo ya kung'atana hayo ndio hapana
 
mkuu, wewe ni baba au mama wa mtoto wa mtu, siku moja atakua huyo mtoto tapeleka mwanae shule pengine yakawa haya mtakuja mlaum nani?? mimi sikatai mtoto tabia zake mzaz ndio anahusika kwa namna zote ila akiwa shule ni jukumu lako, sasa kuna watoto wanapigana mpaka kuumizana kutoana dam utasemaje??
Wazazi mna kelele sana utadhani huyo mwalimu ana macho kwa idadi ya wanafunzi na anamwili na mikono na miguu kwa idadi ya wanafunzi

Wakati Mtoto wako akiwa mmoja tuu kuna mda anaumia na wewe upo hapo hapo sembuse wanafunzi zaid ya 20 alio nao mwalimu 1?

Acheni kusakama walimu washenzi wa tabia nyie mnao jifanya sahizi werevu wakati werevu huo mmeutoa kwa walimu hao hao.
 
mbona povu mwalimu?? nimewasakama wapi?? hebubsoma tena, tuliza jazba na munkari soma kwa kushusha presha uliyonayo utanielewa, sjakuja kumsakama mtu na kama umeona hivyo hio ni point yako of view mie hayanihisu.
 
Back
Top Bottom