mangiTz
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 1,820
- 3,062
Ngumu sana kwa mzazi kuandika Hali ya afya ya mwanao hasa kwa tatizo kama lilekabisa hakuna, hata hao wazaz hawajasema shule walim hawana walijualo bora wangekua wawazi ingesaidia ajue anaishi nao vipi kwa ujumla bila ya kumbagua tena ananiambia huyu mtoto hasikii sana unaweza ukafungwa kwa kumpiga
Inafahamika watanzania ukianika Hali yako tayari unaanza kukutana na Hali ya unyanyapaa,
Kuna muda unaweza ukahisi umepeleka Siri zako kwa mtu sahihi lakini ikawa sivyo ulivyofikiria ,
Ninachojaribu kusema ni: elimu ya waalimu wa nursery na hata jamii ya kitanzania bado tupo nyuma usishangae wakiambiwa wataanza kumnyanyapaa mtoto , Kuna wengine hata wanafanya kazi ya kupinga hivo vitendo kwenye media ila jaribu kuishi nae ndo unamuona mbona anachosema kule na huku tofauti