Umenikumbusha kuna kijana alikuwa +, sasa ukaibuka ugomvi wasichana wanne wanagombana kisa yeye. Kwakuwa nilikuwa najua status yake niliumia sana. Kumuuliza akadai "sikuwatongoza walijilengesha, acha tu waupate maana hata mimi sikupenda kuzaliwa nao".
Sijui kama wale mabinti waliukwaa au la. Na sijui kama baada ya kuhitimu aliendelea kuusambaza au la!!
Walimu tuna taabu sana, sasa hapo unawalinda vipi hao wanafunzi? Manaa huwezi kuweka wazi status ya mwenzao. Na sio muda wote utakuwa ukishuhudia yanayoendelea. Tena hao wadogo ndio ukigeuza mgongo tu....."one mistake, one goal". Its not easy.