Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Unataka wanafunzi wa watu wa kipato cha chini na maskini waendelee kufundishwa na watu waliofeli form fourHili sio sawa,nalipinga 100%
Shule za private walimu wa shule za msingi wanafundisha wenye digrii za ualimu za Primary EducationHili sio sawa,nalipinga 100%
Zipo changamoto nyingi katika elimu yetu ya shule za msingi ambapo watu wengi ndo wanaposoma zinachangamoto ya uhaba wa ualimu, wanafunzi kukaa chini, kutokua na maabara,
Ila changamoto nayotaka kuongelea kwenye huu uzi ni swala zima la kiwango cha elimu cha walimu wa shule za msingi
View attachment 3325879
Huwezi fundishwa na mtu aliyefeli ilihali watoto wengine wanafundishwa na watoto waliofaulu ndani ya nchi hiyo hiyo sio sawaWatu wanaamini kuwa na elimu kubwa ndio uwezo wa kufundisha. Kuwa na elimu kubwa ni kitu kingne na kufundisha Nako ni kitu kingne,,,
Bado unasafari ndefu sana kifikra ila utaelewa tuKufundisha ni kipawa ndugu zangu na moyo,watu weng wapo kufundisha TU kwa sababu ya maisha au marks alizopatq.
Uzi hausiani na polisiPolisi nako je?
Ngugu acha kudharau elimu za watu,walimu wa shule za msing hawajafel hata kdg,km umesoma shule za kata zaman kdg kuanzia 2005 kupata three TU ulikuwa shida sanaHuwezi fundishwa na mtu aliyefeli ilihali watoto wengine wanafundishwa na watoto waliofaulu ndani ya nchi hiyo hiyo sio sawa
Naongelea leo wewe unaongelea mambo ya zamaniNgugu acha kudharau elimu za watu,walimu wa shule za msing hawajafel hata kdg,km umesoma shule za kata zaman kdg kuanzia 2005 kupata three TU ulikuwa shida sana
Naongelea shule za msingi za serikaliWanaosoma Early child hood wanafundishwa
Naongelea shule za msingi za serikalWanaosoma Early child hood wanafundishwa
Mtu aliyefeli hawezi kuwa mwalimuHuo ni ubinafsi uliochangamana na ujinga. Hao wenye degree unafikir ndio watafanya watoto wafaulu? Ualimu ni mbinu na njia za ufundishaji. Walimu wengi wa Diploma na Certificates ni walimu wazuri sana kuliko hata hao graduates....!!