Walimu wa shule za msingi wanatakiwa waajiriwe wenye degree na sio waliofeli form 4 kama ilivyo sasa

Mnabaguana walimu kwa walimu.
Elimu
Elimu
Elimu
KAZI ni kipimo cha utu
 
Hakuna mwalimu wa shule ya msingi aliefeli form four

Mimi toka nipo form one 2010, hakuna program ya ualimu kwa aliyepata chini ya four ya 28

Angalia vizuri vigezo vya kusomea ualimu tangu mwaka 2010 Halafu urudi hapa

Kwa form four, ualimu na polisi wanachukua waliofaulu sana kuliko fani nyingi ( afya, biashara, nk)

Halafu pia kuwa na akili, mtu aliyepata hata four ya 30 form four hawezi kushindwa kumfundisha mwanafunzi wa darasa la saba

Yaani form one hadi four Kisha miaka miwili chuo halafu ashindwe?

Msichoelewa ni kuwa kufundisha ni kipaji, Kuna watu wana elimu kubwa na ufaulu mzuri ila hawajui kufundisha
 
Magraduate mengine umeme mdogo kwa kichwa (RAM ndogo processor zimelala)

Na kuna certificate na diploma wanao umeme wa kutosha

Nina mifugo hapa home nina jamaa mmoja ana certificate tu mifugo ila jamaa ni mnyama na umeme mwingi kuliko hao magruduate wako wanakuja hata kusafisha kondo tu ng'ombe aliezaa ameshindwa kulitoa zile procedures za kawaida tu zinamshinda
 
Hakuna mwalimu wa shule ya msingi aliefeli form four

Mimi toka nipo form one 2010, hakuna program ya ualimu kwa aliyepata chini ya four ya 28

Angalia vizuri vigezo vya kusomea ualimu tangu mwaka 2010 Halafu urudi hapa

Kwa form four, ualimu na polisi wanachukua waliofaulu sana kuliko fani nyingi ( afya, biashara, nk)

Halafu pia kuwa na akili, mtu aliyepata hata four ya 30 form four hawezi kushindwa kumfundisha mwanafunzi wa darasa la saba

Yaani form one hadi four Kisha miaka miwili chuo halafu ashindwe?

Msichoelewa ni kuwa kufundisha ni kipaji, Kuna watu wana elimu kubwa na ufaulu mzuri ila hawajui kufundisha
Wanatakiwa wawe na degree
Ukipata form ya aina yeyote ile umefeli
 
Zipo changamoto nyingi katika elimu yetu ya shule za msingi za serikali ambapo watoto wengi wa maskini na kipato cha chini ndo wanaposoma zinachangamoto ya uhaba wa ualimu, wanafunzi kukaa chini, kutokua na maabara n.k

Ila changamoto nayotaka kuongelea kwenye huu uzi ni swala zima la kiwango cha elimu cha walimu wa shule za msingi
View attachment 3325879

Angalizo;
Degree haifundishi, kinachofundisha ni kuwa na waalimu wenye sifa (PASS) za kufundisha masomo wanayopangiwa
Mfano: Waalimu waliopo mtaani wenye degree, takriban 80% ni Degree za arts kwa hiyo wanakidhi kufundisha masomo ya Arts (Kiswahili, historia na English) ILA hawakidhi vigezo vya kufundisha masomo kama Hesabu na Saiyansi. Namaanisha, UNAWEZA KUJAZA WAALIMU WENYE DEGREE HUKO SHULE ZA MSINGI LAKINI HATA UKIMPA HESABU YA HASI NA CHANYA HAWEZI !

Nafikiri kwa shule za msingi, tunahitaji waalimu wenye sifa (pass za kueleweka) hasa kwa masomo ya Hesabu na Sayansi yanayohitaji ujuzi maalum na sio waalimu wenye Degree (degree hapa ni bonus)
ILA kwa sekondari ndio tunaweza kwenda na degree za masomo husika
 
Angalizo;
Degree haifundishi, kinachofundisha ni kuwa na waalimu wenye sifa (PASS za kueleweka) za kufundisha masomo wanayopangiwa
Mfano: Waalimu waliopo mtaani wenye degree, takriban 80% ni za arts kwa hiyo wanakidhi kufundisha masomo ya Arts ILA hawakidhi vigezo vya kufundisha masomo kama Hesabu na Saiyansi.
Nafikiri kwa shule za msingi, tunahitaji waalimu wenye sifa (pass) za kufundisha masomo wanayopangiwa na sio waalimu wenye Degree
Kwenye nimeelezea vizuri tu
 
Shule za private walimu wa shule za msingi wanafundisha wenye digrii za ualimu za Primary Education

Kenya pia shule za msingi hufundisha walimu wenye digrii

International schools zote shule za msingi hufundishwa na walimu wenye digrii
Kinachotakiwa serikali iboreshe elimu yetu kuanzia chini ili product ya form 4 awe vizuri Kama wanafunzi wa miaka ya 70..

Hauitaji degree ili umfundishe Mtoto wa darasa la kwanza

Kuna degree nyingi useless mtaani,Ajira hakuna,bado unataka degree nyingine??mishaara ya kuwalipa walimu wa degree kuanzia primary level au secondary itatoka wapi??

Serikali kwa hela gani au kwa raslimali zipi iwa train walimu wa primary nchi nzima degree??

Courses za Ualimu Certificate na diploma zifutwe?? Dennis Roberts

Kwanini unafikiri MTU akiwa na degree ndio anakua vizuri academically kufundisha primary na si vinginevyo??
 
Mahitaji ya technology na pia elimu ya msingi ndo inaumuhimu kuliko hata ya sekondari

Moja ya sababu nchi kuwa kama ilivyo ni matokeo ya kuiipuuza elimu ya msingi
 
Hakuna degree useless ni serikali imeshindwa kutengeneza ajira
 
Mahitaji ya technology na pia elimu ya msingi ndo inaumuhimu kuliko hata ya sekondari

Moja ya sababu nchi kuwa kama ilivyo ni matokeo ya kuiipuuza elimu ya msingi
Sasa elimu ya Msingi nzuri, secondary unalipua,walimu Wazuri wa shule ya Msingi watatoka wapi??
 
Bado uko mbali sana kifikra sehemu yeyote msisitizo mkubwa sana upo kwenye msingi hata nyumba lazima uweke msisitizo kwenye msingi
 
Hakuna mwalimu wa shule ya msingi aliefeli form four

Mimi toka nipo form one 2010, hakuna program ya ualimu kwa aliyepata chini ya four ya 28

Angalia vizuri vigezo vya kusomea ualimu tangu mwaka 2010 Halafu urudi hapa

Kwa form four, ualimu na polisi wanachukua waliofaulu sana kuliko fani nyingi ( afya, biashara, nk)

Halafu pia kuwa na akili, mtu aliyepata hata four ya 30 form four hawezi kushindwa kumfundisha mwanafunzi wa darasa la saba

Yaani form one hadi four Kisha miaka miwili chuo halafu ashindwe?

Msichoelewa ni kuwa kufundisha ni kipaji, Kuna watu wana elimu kubwa na ufaulu mzuri ila hawajui kufundisha
Huyu mjinga asiwapotezee muda,MTU afaulu vizuri form 4,miaka miwili awe chuo,ashindwe kumfundisha mtoto wa primary???haiingii akilini..
 
Back
Top Bottom