Walimu wa shule za msingi wanatakiwa waajiriwe wenye degree na sio waliofeli form 4 kama ilivyo sasa

Ubovu wa mazingira utaondolewa na mipango ya mda mfupi na mirefu
Hata shule zenye mazingira mazuri upumbavu upo vile vile ...tatizo ni UTASHI NA AKILI ...walimu wanajiongezea ugumu wenyewe kwa akili zao finyu ningeweza kukupa mifano zaidi ya 1000
 
Nilileta Uzi kusema watu wengi humu JF na huko serikalini wanaelimu za kuungaunga hivo hawata kuelewa hata useme nini kwasabab wapo wengi sana zaidi ya 85% ya JF member wote elimu zao ni tia maji tia maji

Kwahyo utapopolewa hadi basi lakni ndo ukwel huwezi ishi dunia ya 1990-2015 kipindi hichi wenzio wanabadilika ww unang'ang'ania upumbuvu uleule wa kizamani kisa ulikupa matokea kipindi hicho

Mwisho sisi ni wa mkiani daima sio Kwasabab hatuwezi sema wajuaji wengi halaf ni mbumbumbu kisa tu wameajiriwa wanaona wamemaliza hawajua serikali unawabeba kwasabab ni cheap labor sio Kwasabab wanajua sana
 
Ni mawazo yako ambayo ni mfu kwa hiyo kama upumbavu upo ndo usipunguzwe kwanini nchi nyingine wameweza kupunguza upumbavu kwetu sisi useme haiwezekani interesting
 
Zipo changamoto nyingi katika elimu yetu ya shule za msingi za serikali ambapo watoto wengi wa maskini na kipato cha chini ndo wanaposoma zinachangamoto ya uhaba wa ualimu, wanafunzi kukaa chini, kutokua na maabara n.k

Ila changamoto nayotaka kuongelea kwenye huu uzi ni swala zima la kiwango cha elimu cha walimu wa shule za msingi

View attachment 3351986
Huyo mwalim wa degree atalea watoto?
Hivi unajua mziki wa kushinda siku nzima na watoto 50?
 
Nilileta Uzi kusema watu wengi humu JF na huko serikalini wanaelimu za kuungaunga hivo hawata kuelewa hata useme nini kwasabab wapo wengi sana zaidi ya 85% ya JF member wote elimu zao ni tia maji tia maji

Kwahyo utapopolewa hadi basi lakni ndo ukwel huwezi ishi dunia ya 1990-2015 kipindi hichi wenzio wanabadilika ww unang'ang'ania upumbuvu uleule wa kizamani kisa ulikupa matokea kipindi hicho

Mwisho sisi ni wa mkiani daima sio Kwasabab hatuwezi sema wajuaji wengi halaf ni mbumbumbu kisa tu wameajiriwa wanaona wamemaliza hawajua serikali unawabeba kwasabab ni cheap labor sio Kwasabab wanajua sana
Umenena vema
Na wengi wanauwezo wa kifedha kwa hiyo watoto wao hawasomi huko shule za serikali watakuaje na uchungu kwa watoto wa maskini simply ni ubinafsi kwa hiyo wao ni mwendo wa kuropoka tu na kuponda mwanzo mwisho

Njoo kwa wasimamizi wa elimu, afisa elimu na wengine watoto wao hawasomi huko shule za serikali kwa hiyo hawajali ni business as usual

Hii nchi yetu ni ya ajabu sana ukitafakari kwa umakini
 
Ndo hvo hii tabia ipo afrika tu dunia nzima
 
Zipo changamoto nyingi katika elimu yetu ya shule za msingi za serikali ambapo watoto wengi wa maskini na kipato cha chini ndo wanaposoma zinachangamoto ya uhaba wa ualimu, wanafunzi kukaa chini, kutokua na maabara n.k

Ila changamoto nayotaka kuongelea kwenye huu uzi ni swala zima la kiwango cha elimu cha walimu wa shule za msingi

View attachment 3351986
Kwa kifupi hujui kitu kojoa ulale
 
Mkuu unaishi bongo au ulaya unakurupuka mkuu,kasome

sera ya Elimu Toka tok mwka 77 miaka 10, Baada ya uhuru

Fanya tafiti uone Pato la ndani ni ngapi Kwa mwezi , ili uaze kusema ya kwako hayo

ushauri wako mzuri lakini hauzingatii tafii
 
Nyie ndo wale mnaopinga mabadiliko sio kosa lako
 
Mjuba upo nchi hii kweli? Walimu ni wapya wana diploma hadi degree. Hao wa form four ndio wanamalizikia kwa kustaafu. Siku hizi shule za msingi zina walimu wenye elimu kubwa kajionee masjala za walimu wilayani na kwenye manispaa
 
Hizo degree walizonazo haziendani na mazingira ya sasa ya dunia

Mimi nina mtu alikuwa anafundisha sekondari kaamishiwa shule ya msingi unajiuliza huyu chuoni kasomea ualimu wa sekondari leo hii kapelekwa shule ya msingi wapi na wapi
 
Ni mawazo yako ambayo ni mfu kwa hiyo kama upumbavu upo ndo usipunguzwe kwanini nchi nyingine wameweza kupunguza upumbavu kwetu sisi useme haiwezekani interesting
Tumia akili ! Tatizo.lako na wewe ni akili hauna ....utaondowaje upumbavu kwa kutumia upumbavu ?🙄🙄 sababu za hayo matatizo kudumu miaka na miaka ndiyo hizo nilizo kuambia KUKOSEKANA KWA UTASHI NA AKILI ...sasa wewe unasema watatue ..watatatua vipi bila ya
1)UTASHI
2)AKILI 🙄🙄🙄🙄
Hau ujui umuhimu wa akili ?kwenye kutatua matatizo ? Au unadhani utatatua UPUMBAVU KWA KUTUMIA UPUMBAVU ?..ukisikia msemo wa chumvi ikiwa siyo chumvi tena utatia nini ikolee ...ndiyo mkwamo tuliopo sisi ...hizo nchi zilizo tatua huo mkwamo unazosema wewe ...WALITUMIA 👉UTASHI NA 👉AKILI kutatua huo mkwamo ....sisi tatizo hatuna hayo mawili, kutuwezesha kutatua hivyo tutabaki hapo hapa tukilalamika miaka kwa miaka hadi atakapo tokea mwenye Akili na mamlaka ya kufanya change..PIA USINILISHE MANENO NI WAPI NIMESEMA HAIWEZEKANI ?
 
Tumia akili ! Tatizo.lako na wewe ni akili hauna ....utaondowaje upumbavu kwa kutumia upumbavu ?🙄🙄 sababu za hayo matatizo kudumu miaka na miaka ndiyo hizo nilizo kuambia KUKOSEKANA KWA UTASHI NA AKILI ...sasa wewe unasema watatue ..watatatua vipi bila ya
1)UTASHI
2)AKILI 🙄🙄🙄🙄
Hau ujui umuhimu wa akili ?kwenye kutatua matatizo ? Au unadhani utatatua UPUMBAVU KWA KUTUMIA UPUMBAVU ?..ukisikia msemo wa chumvi ikiwa siyo chumvi tena utatia nini ikolee ...ndiyo mkwamo tuliopo sisi ...hizo nchi zilizo tatua huo mkwamo unazosema wewe ...WALITUMIA 👉UTASHI NA 👉AKILI kutatua huo mkwamo ....sisi tatizo hatuna hayo mawili, kutuwezesha kutatua h9vyo tutabaki hapo hapa tukilalamika miaka kwa miaka hadi atakapo tokea mwenye Akili na mamlaka ya kufanya change..PIA USINILISHE MANENO NI WAPI NIMESEMA HAIWEZEKANI ?
Mimi nimeonyesha maono yangu nikiwa Rais juu ya elimu ya msingi na siwezi hufuata huo ushauri wako ambao hata hujui ni kipi unachosimamia
 
Ungekuwa na Akili ungeweza kujua hayo mambo mawili yana fanya kazi vipi na yanapo kosekana nini utokea mambo hayo ni AKILI NA UTASHI ....wewe ndiyo wale wapumbavu mnaodhani ELIMU NDIYO AKILI ...kumbuka KITABU KINA ELIMU ILA HAKINA AKILI
 
Hata uniambie mimi ni kichaa hakuna unachonipunguzia kwa hiyo keep it up labda ndo furaha yako

Hadhi yangu ni kubwa sana siwezi anza kutupiana maneno ya kshafa na mtu anayetumia jina bandia na simjui
 
Nani anatumia jina bandia ...na kama unijui basi najitambulisha UNAZUNGUMZA NA THE GREAT GENIUS OF ALL THE TIME
 
Back
Top Bottom