Walimu wa shule za msingi wanatakiwa waajiriwe wenye degree na sio waliofeli form 4 kama ilivyo sasa

Hata uniambie mimi ni kichaa hakuna unachonipunguzia kwa hiyo keep it up labda ndo furaha yako

Hadhi yangu ni kubwa sana siwezi anza kutupiana maneno ya kshafa na mtu anayetumia jina bandia na simjui
Nani anatumia jina bandia ...na kama unijui basi najitambulisha UNAZUNGUMZA NA THE GREAT GENIUS OF ALL THE TIME😇
 
Genius anayetumia majina bandia
Tumia majina yako matatu kama mimi na picha halisi kama mimi

Kwamba kwenye cheti chako cha form four au six kinasoma jina moja tu
 
Genius anayetumia majina bandia
Tumia majina yako matatu kama mimi na picha halisi kama mimi
Nikiandika mjina mkubwa Mtu akitaka kuni tag au kukutagi anapata shida na huo mjina wako mkubwa tumia akili ...inabidi kuliandika lote na kwa usahihi ...wenzako majinius tulizingatia...wepesi wa jina
 
Mtu akitaka kuni tag au kukutagi anapata shida na huo mjina wako mkubwa tumia akili ...inabidi kuliandika lote na kwa usahihi ...wenzako majinius tulizingatia hato
Kwamba cheti chako cha form au six linasomeka jina moja

Unaogopa nini kutumia majina yako yote matatu au hujiamini
 
Wewe itakuwa watu awakutag sana kwa sababu ya jina ...juzi nilitoka kumshauri member mmoja hapa JF kuhusu jina analo tumia kuwa ni shida kumtag ...wewe pia ukutumia akili ....kulikuwa na haya gani kutumia mjina wote hapa jf ...kwani wewe ukimwita mtoto wako unalazimika kumtaja majina yake yote ? Jina lako wewe ni moja tu kati ya hayo matatu hayo mawili ni signature tu
 
Inawezekana mtoa uzi umeathirika kisaikolojia na una shida mahali nenda hospitalini ukatibiwe na ukiendelea na kuwaza negative kuhusu ya wengine utaokota makopo. Pambana na kufundisha darasa la IIIA.

Huenda una chuki binafsi tu na huu uzi umeandika ukimlenga mtu fulani.
Elimu yako ni ndogo nenda kasome wewe acha kukatisha tamaa watu eti wasijiendeleze kisa walifeli.

Mawazo ya Mwafrika kutatishana tamaa tu, kulogana kisa wivu.

Angalia hata wavumbuzi si kwamba walifanikiwa kwa siku huenda kuna sehemu wakikwama kidogo. Thomas Edson Jack Ma Nikola tesla Walifanya majaribio mengi sana hadi kufikia walipo.

NB: Mtu kushindwa kitu mara moja si kwamba hana akili bali kuna vitu vinachangia.

Saikolojia yako ni ndogo sana na kinachokusumbua ni wivu tu na ukiendelea hivi utakuwa mchawi. Kama wewe si mwalimu basi ondoa watoto wako shule za serikali acha kutapatapa. Poor Brain To yeye dronedrake @JF
 
Degree zimejaa kule mkuu,degree sikuhizi si kitu kikubwa sana kama zamani....na ndiyo maana mtindo wa usimamizi wa mitihani umebadilika.Walimu shule msingi tunaenda kusimamia mitihani secondari O level mpaka A level ,..Ajira imekuwa changamoto sana hivyo mtu na degree yake hawezi kataa anapopangwa shule ya msingi wakati mshahara wake atapata uleule unaolingana na Elimu yake.
Ila unahoja nzuri usikilizwe
 
Zipo changamoto nyingi katika elimu yetu ya shule za msingi za serikali ambapo watoto wengi wa maskini na kipato cha chini ndo wanaposoma zinachangamoto ya uhaba wa ualimu, wanafunzi kukaa chini, kutokua na maabara n.k

Ila changamoto nayotaka kuongelea kwenye huu uzi ni swala zima la kiwango cha elimu cha walimu wa shule za msingi

View attachment 3351986
Mwalimu wa shule ya msingi hakufeli form four
 
Kuna watu kibao wa degree wanafanya odd job ni mbingu na ardhi na kile walichosomea
Kumpa mtu overqualified nafadi ndogo ni kumfanya asiwe na morali ya kazi?
Haiitaji degree kufundisha watoto wetu, wanahitaji walim wa kawaida sana tena wenye uelewa wa kawaida ili kuendana na bongo za watoto
 
Angalia nchi za Scandinavia uone mwalimu anaandaliwaje ndo utajua nachomaanisha mfano kwa nchi kama Finland kuwa mwalimu ni shughuli nzito

Nenda nchi zote zenye mfumo bora wa elimu uone aina ya walimu wanaofundisha watoto wao

Hii nchi hatuwezi endelea sababu elimu hatuichukulii serious
 
Degree zimejaa kule mkuu,degree sikuhizi si kitu kikubwa sana kama zamani....na ndiyo maana mtindo wa usimamizi wa mitihani umebadilika.Walimu shule msingi tunaenda kusimamia mitihani secondari O level mpaka A level ,..Ajira imekuwa changamoto sana hivyo mtu na degree yake hawezi kataa anapopangwa shule ya msingi wakati mshahara wake atapata uleule unaolingana na Elimu yake.
Ila unahoja nzuri usikilizwe
Point yangu hizi degree kwa ajili ya kufundishia haziendani na hali ya sasa ya dunia ziko outdated
 
Inawezekana mtoa uzi umeathirika kisaikolojia na una shida mahali nenda hospitalini ukatibiwe na ukiendelea na kuwaza negative kuhusu ya wengine utaokota makopo. Pambana na kufundisha darasa la IIIA.

Huenda una chuki binafsi tu na huu uzi umeandika ukimlenga mtu fulani.
Elimu yako ni ndogo nenda kasome wewe acha kukatisha tamaa watu eti wasijiendeleze kisa walifeli.

Mawazo ya Mwafrika kutatishana tamaa tu, kulogana kisa wivu.

Angalia hata wavumbuzi si kwamba walifanikiwa kwa siku huenda kuna sehemu wakikwama kidogo. Thomas Edson Jack Ma Nikola tesla Walifanya majaribio mengi sana hadi kufikia walipo.

NB: Mtu kushindwa kitu mara moja si kwamba hana akili bali kuna vitu vinachangia.

Saikolojia yako ni ndogo sana na kinachokusumbua ni wivu tu na ukiendelea hivi utakuwa mchawi. Kama wewe si mwalimu basi ondoa watoto wako shule za serikali acha kutapatapa. Poor Brain To yeye dronedrake @JF
Kilaza mwingine huyu hapa ni watu wangapi wanaweza fikia level za estein na tesla baada ya wao kupita ni wangapi wametokea na kuwafikia
Ujinga unakusumbua

Mimi naongelea mfumo kwa ujumla wewe unaongelea individual brilliance
 
Sasa kama mtu alifaulu shule ya Msingi na kwenda Secondary, Anawezaje Kushindwa Kufundisha shule ya Msingi?

Acheni Amambo yenu baasi.
 
Kilaza mwingine huyu hapa ni watu wangapi wanaweza fikia level za estein na tesla baada ya wao kupita ni wangapi wametokea na kuwafikia
Ujinga unakusumbua

Mimi naongelea mfumo kwa ujumla wewe unaongelea individual brilliance
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo siwezi kubishana na watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri. Bye
 
Wewe mwenye uwezo mkubwa umejificha kwenye jina bandia

Hakuna mtu anaakili na kujiamini akajificha kwenye jina bandia

Note: mtu mwenye akili lazima ajiamini
 
Nilileta Uzi kusema watu wengi humu JF na huko serikalini wanaelimu za kuungaunga hivo hawata kuelewa hata useme nini kwasabab wapo wengi sana zaidi ya 85% ya JF member wote elimu zao ni tia maji tia maji

Kwahyo utapopolewa hadi basi lakni ndo ukwel huwezi ishi dunia ya 1990-2015 kipindi hichi wenzio wanabadilika ww unang'ang'ania upumbuvu uleule wa kizamani kisa ulikupa matokea kipindi hicho

Mwisho sisi ni wa mkiani daima sio Kwasabab hatuwezi sema wajuaji wengi halaf ni mbumbumbu kisa tu wameajiriwa wanaona wamemaliza hawajua serikali unawabeba kwasabab ni cheap labor sio Kwasabab wanajua sana
Sasa wewe ambae umesoma mfumo mwingne wa elimu bila kuunga unga umelisaidia nini taifa? Umevumbua nini au umegundua nini ndugu yangu ili tujivunie na wewe?
 
Zipo changamoto nyingi katika elimu yetu ya shule za msingi za serikali ambapo watoto wengi wa maskini na kipato cha chini ndo wanaposoma zinachangamoto ya uhaba wa ualimu, wanafunzi kukaa chini, kutokua na maabara n.k

Ila changamoto nayotaka kuongelea kwenye huu uzi ni swala zima la kiwango cha elimu cha walimu wa shule za msingi

View attachment 3351986
Dennis tatizo la mwalimu wa Tanzania sio kiwango cha elimu.

Tatizo ni training. Hata ukiajiri Phd holders na training yao inabaki ileile hautakuwa umesolve lolote.
 
Degree za ualimu wanazopewa ziko shallow sana haziendani na dunia ya sasa
Mfano; dunia ya Leo mtoto wa primary anatakiwa aanze jifunza coding, graphics, excel, word na PowerPoint kama sehemu ya somo la computer

Ni kweli mazingira ni mabovu sana hasa shule za serikali, na idadi ndogo ya walimu ila na competent ya walimu ni tatizo lingine kubwa
 
Back
Top Bottom