Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Kwani ukisoma ni lazma ugundue kitu?Sasa wewe ambae umesoma mfumo mwingne wa elimu bila kuunga unga umelisaidia nini taifa? Umevumbua nini au umegundua nini ndugu yangu ili tujivunie na wewe?
Wewe utawezaje kuwa rais wakati hauna hata uelewa wa mabadiliko ya sera ya elimu yaliyopo nchini kwa sasa ?Zipo changamoto nyingi katika elimu yetu ya shule za msingi za serikali ambapo watoto wengi wa maskini na kipato cha chini ndo wanaposoma zinachangamoto ya uhaba wa ualimu, wanafunzi kukaa chini, kutokua na maabara n.k
Ila changamoto nayotaka kuongelea kwenye huu uzi ni swala zima la kiwango cha elimu cha walimu wa shule za msingi
MIMI NIKIWA RAIS NTAFANYA MABORESHO MAKUBWA SANA SHULE ZA MSINGI KAMA YAFUATAYO
Kwa hayo mabadiliko ni wazi hata degree za ualimu zinazotolewa haziko compatible na mabadiliko ya hali ya dunia yaani haziendani na hali ya sasa ya dunia ni wazi kunahitajika mabadiliko yaani sio tu degree bali hata aina ya degree hizo zinatakiwa kuendana na hali ya sasa
- Kuongeza wigo wa masomo ya kingereza
- Kusoma programming language tokea primary
- Kusoma graphics
- Kusoma words, excel na PowerPoint
- Kufundishwa kuifanyia maintanance computer
Nchi kama Finland, Singapore ili uwe mwalimu ni shuhuli pevu ndo maana wanatoa elimu bora sana hata sisi Tanzania tunaweza kama tukiamua sio fair ukiongea na mtoto wa shule za serikali ni kama anaenda kukua na sio kuelimika
View attachment 3351986
Kwenye nchi yeyote kama ni maskini usipate sana shida nenda kwenye elimu ya msingi kama foundation utapata jibu kwanini ni maskini kule ndo watu wanakuwa shapedKwani ukisoma ni lazma ugundue kitu?
Mbna mnakua wapumbavu hambadiliki mnaakili zlezle tu miaka nenda miaka Rudi?
Mm swezi kufafana na hao takataka walofeli form 4 hata kama wamenizidi maisha kiasi Gani
Pia uspanik kama elimu yako ya kuungaunga kubali sio kila asiekua na elimu ndo hana akili lkn katika maendeleo ya taifa lolote elimu ya juu ndo jambo muhimu na huwezi ipata kutoka msingi mbovu wa kuungaunga
Mwisho idadi ya watanzania labda wenye elimu ya diploma na kuendelea ni asilimia 1.7 kati watu milioni 60+ kwahyo hoja kama zako ni nyingi
Hayo mabadiliko hayana tija kwani ni ya kwanzaWewe utawezaje kuwa rais wakati hauna hata uelewa wa mabadiliko ya sera ya elimu yaliyopo nchini kwa sasa ?
Au utakuwa rais wa YANGA ?
Wewe naye mawazo yako hayana tijaHayo mabadiliko hayana tija kwani ni ya kwanza
Nikusaidie kila waziri akichaguliwa lazima aibadilishe sera ya elimu nenda nchi zilizoendelea ni nadra sana kuona sera ya elimu kubadilishwa badilishwa hovyo hovyo kama ilivyo TanzaniaWewe naye mawazo yako hayana tija
Kwa sasa hata waliofeli wana degree. Hii loop hole ya diploma imesaidia vilaza wengi sanaZipo changamoto nyingi katika elimu yetu ya shule za msingi za serikali ambapo watoto wengi wa maskini na kipato cha chini ndo wanaposoma zinachangamoto ya uhaba wa ualimu, wanafunzi kukaa chini, kutokua na maabara n.k
Ila changamoto nayotaka kuongelea kwenye huu uzi ni swala zima la kiwango cha elimu cha walimu wa shule za msingi
MIMI NIKIWA RAIS NTAFANYA MABORESHO MAKUBWA SANA SHULE ZA MSINGI KAMA YAFUATAYO
Kwa hayo mabadiliko ni wazi hata degree za ualimu zinazotolewa haziko compatible na mabadiliko ya hali ya dunia yaani haziendani na hali ya sasa ya dunia ni wazi kunahitajika mabadiliko yaani sio tu degree bali hata aina ya degree hizo zinatakiwa kuendana na hali ya sasa
- Kuongeza wigo wa masomo ya kingereza
- Kusoma programming language tokea primary
- Kusoma graphics
- Kusoma words, excel na PowerPoint
- Kufundishwa kuifanyia maintanance computer
Nchi kama Finland, Singapore ili uwe mwalimu ni shuhuli pevu ndo maana wanatoa elimu bora sana hata sisi Tanzania tunaweza kama tukiamua sio fair ukiongea na mtoto wa shule za serikali ni kama anaenda kukua na sio kuelimika
View attachment 3351986
Hilo ni Tatizo lingine kubwa elimu yetu imekua rahisi sana na imekua ikitoa product mbovu sana tuna-watu wengi wenye vyeti ila tuna-watu wachache sana competentKwa sasa hata waliofeli wana degree. Hii loop hole ya diploma imesaidia vilaza wengi sana
Huna uelewa na haupo tayari kuelewa. FYI sera inayotekelezwa sasa ni ya mwaka 2014.Nikusaidie kila waziri akichaguliwa lazima aibadilishe sera ya elimu nenda nchi zilizoendelea ni nadra sana kuona sera ya elimu kubadilishwa badilishwa hovyo hovyo kama ilivyo Tanzania
Wenye degree akina MWIJAKUUU???Angalia nchi za Scandinavia uone mwalimu anaandaliwaje ndo utajua nachomaanisha mfano kwa nchi kama Finland kuwa mwalimu ni shughuli nzito
Nenda nchi zote zenye mfumo bora wa elimu uone aina ya walimu wanaofundisha watoto wao
Hii nchi hatuwezi endelea sababu elimu hatuichukulii serious