Walimu wa Tanzania ndio maana wanadharauliwa na kila mtu

Walimu wa Tanzania ndio maana wanadharauliwa na kila mtu

Walimu sio watu wa kutetea, ni mara100 kutetea hata yule Mamba kule Rukwa, Walimu ni kundi limejaa wapumbavu,Wajinga,waoga, binafisi watoto wangu nimewapeleka Kusoma Kenya, kule wanajifunza ujasiri, Huku Tanzania wangefundishwa uoga na hawa walimu wetu,Pole yao ambao watoto wao wanafundishwa na aina hii ya walimu na kikubwa wanacho fanya wana transfer ujinga ule kwenda kwa watoto
Sasa hawa ndio wanafundisha watoto wenu
Unaweza kujua mwanao ni famba kiasi gani??
 
Baadhi ya walimu wanaweza kutetea kwa nje ila kwa ndani sote tunakubali

Licha ya kuwa kazi nyingi chini ya halmashauri hazina maslahi ila ualimu ni kazi ya AJABU MNO

Kwa kweli tumepoteza miaka mitatu bure chuoni

Kuliko kumpeleka mwanao akasomee huu upumbavu ni bora umuache tu afanye kazi za mtaani.

Binafsi naongea hivi kwa experience.

UALIMU SIO KAZI
🤣🤣🙄🤔
 
Washaanza kabla ya 2025

UMOJA wa Walimu Wakuu wa Shule za Sekondari Tanzania
(TAHOSSA), wamechangishana kiasi cha shilingi milioni 1.6 kwaajili ya kumsaidia Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya kugombea urais kwa mwaka 2025 ambao wameuita kama kapu la mama.

View attachment 2856020
Kosa kubwa sana. Hii kada sijui ni lini itajitambua, tatizo linaanza kwa viongozi wao.
 
Hivi hao wanaokula laki 3 Makazi, Chakula, Mavazi USAFIRI, vocha na matwaka binafsi wanayamudu vipi??
Ndio maana si rahisi shule za serikali kucompete kimatokeo na quality ya elimu inayotolewa na shule za private.Walimu wa shule za serikali njaa kali na ukizingatia nguvu ya askari iko tumboni mwake na wanadai madai mbalimbali mfano likizo na malimbikizo lakini hakuna anayejali ni ahadi tu.Serikali itakapoanza kujali maslahi ya walimu urgently watoto wetu wataanza kupata elimu bora tujipe muda
 
Walimu sio watu wa kutetea, ni mara100 kutetea hata yule Mamba kule Rukwa, Walimu ni kundi limejaa wapumbavu,Wajinga,waoga, binafisi watoto wangu nimewapeleka Kusoma Kenya, kule wanajifunza ujasiri, Huku Tanzania wangefundishwa uoga na hawa walimu wetu,Pole yao ambao watoto wao wanafundishwa na aina hii ya walimu na kikubwa wanacho fanya wana transfer ujinga ule kwenda kwa watoto
Sasa kenya watajifunza nini wewe jamaa....
Kenya haina elimu nzuri kama hii yetu sema wao ni ile wako serious na suala la elimu.
Hongera kusomesha kenya.
 
Hivi hao wanaokula laki 3 Makazi, Chakula, Mavazi USAFIRI, vocha na matwaka binafsi wanayamudu vipi??
Wewe unafanya kazi gani na kipato chako ni shillingi ngapi?
Kwa sababu kama ni mfanyakazi mishahara inajulikana.Au wewe wanabee milionea?Na unaendesha BMW ya 2023?
 
Kipato cha watanzania walio wengi hakifiki 300,000 kwa mwezi. Chukua wafanya biashara za kawaida, wakulima wadogo, wafugaji wa kawaida nk.
Kwa ujumla umasikini ni wa watanzania wakiwemo walimu.
Labda tutafute suluhisho...
 
Baada ya kuona kila leo kuna mijadala ya kuwadharau walimu ikanibidi niingie Google kujua walimu wanalipwa kiasi gani. Nilichokikuta huko ni aibu!!

Yaaani kwa mwezi mwalimu analipwa posho ya mbunge ya kikao kimoja?

Yaani serikali inaona poa kumlipa allowances askari magereza anayeshinda na wafungwa lakini mwalimu asubiri uchafuzi wa SISIEMU?

HII NI MISHAHARA YA WALIMU 2022/2023!!

B1 = Basic 419,000

Cwt = 8,390.
Pension = 20,950.
Income = 46,090.
Insur = 12,570
Take home = 331,000

C1 = Basic 530,000
Cwt = 10,600.
Pension = 26,500.
Income = 58,300.
Insurance = 15,900
Take home = 418,700

D1= Basic 716,000

Cwt = 14,320.
Pension = 35,800.
Income = 78,760.
Insurance = 21,400
Take home = 565,640

E1 = Basic 940,000

Cwt = 18,800.
Pension = 47,000.
Income = 103,400.
Insurance = 28,200
Take home = 742,600

F1 = Basic 1,235,000

Cwt = 24,700.
Pension = 61,750.
Income = 135,850.
Insurance = 37,050
Take home = 975,650

Source
Weka mishahara ya Kada zingine pia
Afya, kilimo, Askari, magereza nk
 
Wewe unafanya kazi gani na kipato chako ni shillingi ngapi?
Kwa sababu kama ni mfanyakazi mishahara inajulikana.Au wewe wanabee milionea?Na unaendesha BMW ya 2023?
Mimi ni mkulima ni Kanyigo. Naishi kwangu na kwenda shambani situmii usafiri. Una swali lingine mdada mzuri Tui ??
 
Mimi ni mkulima ni Kanyigo. Naishi kwangu na kwenda shambani situmii usafiri. Una swali lingine mdada mzuri Tui ??
Sijakukejeli so usianze matusi.Huna hadhi ya kuwasema waalimu wakati wewe mwenyewe tia maji tia maji.
 
Weka mishahara ya Kada zingine pia
Afya, kilimo, Askari, magereza nk
Afya wana posho, night na overtime, Kilimo wanakafanyia kazi vijijini, means wanakula mashambani na wana marupurupu kwenye pembejeo na viwatirifu pamoja na posho za wakulima, Askari, wana posho ya laki 3 ambayo haikatwi kodi (sawa na mshahara wa mwalimu), posho ya makazi, posho ya vinywaji, posho ya taaluma, (meningine dhambi) magereza vilevile nao ni askari.

Bado unataka ulinganishe na walimu wanaouza kashata shuleni??

We kweli Kifuru Kutu.
 
Sijakukejeli so usianze matusi.Huna hadhi ya kuwasema waalimu wakati wewe mwenyewe tia maji tia maji.
Maji nimeyatia wapi?? Sijawakejeri walimu kabisa nisome vizuri. Kama umeishi Dar es Salaam, ukiangalia gharama za usafiri let say boda kutoka gheto uliko panga ni 1000 mpaka kituo cha daladala x 2 [nenda rudi) + 3,000 ya dalala jumlisha 2000 boda kituoni mpaka shuleni chai 2,000 cha mchana 3,000
Jumla X siku za kazi then rudi kwenye swali langu la msingi.

Hapa usiku bado
Kodi bado
Umeme bado
Mavazi
Vocha
Nk
 
Afya wana posho, night na overtime, Kilimo wanakafanyia kazi vijijini, means wanakula mashambani na wana marupurupu kwenye pembejeo na viwatirifu pamoja na posho za wakulima, Askari, wana posho ya laki 3 ambayo haikatwi kodi (sawa na mshahara wa mwalimu), posho ya makazi, posho ya vinywaji, posho ya taaluma, (meningine dhambi) magereza vilevile nao ni askari.

Bado unataka ulinganishe na walimu wanaouza kashata shuleni??

We kweli Kifuru Kutu.
Mkuu weka namba mwisho wa mwezi wanapata kiasi gani zaidi ya hapo walimu
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Mkuu weka namba mwisho wa mwezi wanapata kiasi gani zaidi ya hapo walimu
Nimejaribu ku Google mishahara ya askari bado sijapata source mujaribu. Sitaki maswala ya niamini mimi wakati kuna vyanzo vya kuaminika na bahati mbaya nshakunywa hizi pombe zetu feki afu Arsenal kapigwa!! Kesho
 
Back
Top Bottom