sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 9,008
- 8,788
Umesahau posho ya pedi kwa akina mama.Afya wana posho, night na overtime, Kilimo wanakafanyia kazi vijijini, means wanakula mashambani na wana marupurupu kwenye pembejeo na viwatirifu pamoja na posho za wakulima, Askari, wana posho ya laki 3 ambayo haikatwi kodi (sawa na mshahara wa mwalimu), posho ya makazi, posho ya vinywaji, posho ya taaluma, (meningine dhambi) magereza vilevile nao ni askari.
Bado unataka ulinganishe na walimu wanaouza kashata shuleni??
We kweli Kifuru Kutu.