Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
- Thread starter
- #81
Just imagine hizi hela analipwa Zimamoto na uokoaji mwenye kitambi hata kukimbia hawezi, hana hata fire extinguisher [emoji3462] [emoji91] [emoji15] achilia mbali gari la zima moto kabisaa.Sasa unakataa? Askari ukiwakata makato yale ya lazima yote -(HESLB, PAYE, PSSSF, SACCOS) mshahara haipungui 300,000 (cheo kidogo kabisa) jumlisha posho ya chakula 300,000 na posho ya vinywaji 100,000,, anapokea 700,000+ kwa mwezi kiujumla. Hapo hujaweka +15% kama pango +15% kama risk allowance. Bado hujaweka professional allowance.
Kinachowatesa askari ni ulevi, ngono na mikopo isiyo na mpangilio
Tafuta askari yeyote, magereza, polisi, zimamoto, uhamiaji.
JWTZ wanakula zaidi ya hapo kwa cheo hicho hicho cha chini kabisa
Afu mwalimu Regina wa Shule ya msingi Kazulamimba kule Kigoma anakula laki 3 na Vumbi la chaki likiambatana na vumbi harisi la Kigoma.
Afu kuna Great Thinker hapo juu kasema walimu wanalipwa pesa nyingi na hawana kazi ya kufanya!!