Walimu wa Tanzania ndio maana wanadharauliwa na kila mtu

Walimu wa Tanzania ndio maana wanadharauliwa na kila mtu

Baada ya kuona kila leo kuna mijadala ya kuwadharau walimu ikanibidi niingie Google kujua walimu wanalipwa kiasi gani. Nilichokikuta huko ni aibu!!

Yaaani kwa mwezi mwalimu analipwa posho ya mbunge ya kikao kimoja?

Yaani serikali inaona poa kumlipa allowances askari magereza anayeshinda na wafungwa lakini mwalimu asubiri uchafuzi wa SISIEMU?

HII NI MISHAHARA YA WALIMU 2022/2023!!

B1 = Basic 419,000

Cwt = 8,390.
Pension = 20,950.
Income = 46,090.
Insur = 12,570
Take home = 331,000

C1 = Basic 530,000
Cwt = 10,600.
Pension = 26,500.
Income = 58,300.
Insurance = 15,900
Take home = 418,700

D1= Basic 716,000

Cwt = 14,320.
Pension = 35,800.
Income = 78,760.
Insurance = 21,400
Take home = 565,640

E1 = Basic 940,000

Cwt = 18,800.
Pension = 47,000.
Income = 103,400.
Insurance = 28,200
Take home = 742,600

F1 = Basic 1,235,000

Cwt = 24,700.
Pension = 61,750.
Income = 135,850.
Insurance = 37,050
Take home = 975,650

Source
Mmmmmm, lakini nafikiri wana mbinu zingine za kuishi maana gharama za maisha zimepanda.
 
Ila CWT inakomba pesa za walimu aisee
 
Mkuu hawezi kuweka kwasababu lengo lake ni kuwadhalilisha walimu...na Kuna kada nyingi tu zinazidiwa mshahara na walimu...

NB:NI MJINGA TU ANAEWADHARAU WALIMU WETU
Acheni kutetea ujinga, hata kama mleta mada pengine ana nia tofauti, ukweli uko wazi kuwa mishahara ya walimu ni midogo sana ukilinganisha na kada zingine

Wapo wengi humu wanaokubaliana na ukweli huu lakini wanadai kuwa, "eti"

Mishahara ya walimu ni midogo kwa kuwa wao hawana nyongeza ya ziada isiyo mishahara kama vile house, night allowances.

Kwa sababu hiyohiyo ya utetezi wao, hata hii ni sababu kuu ya kuwadharau. Kwa nini kada zingine zipewe hizo allowances na walimu wanyimwe huku wakikabiliwa na maisha magumu yaliyo ktk mazingira ya kada zingine.

Hapa mi sioni kuwa amewadharau bali ni ukweli mtupu. Hao mnao tetea mko kupalilia nafasi zenu serikalini na wala hamjui machungu anayopitia mwalimu.

Ktk hoja hii hakuna mwl anayeweza kupaza sauti ya kumbeza mleta mada maana yeye anjua uhalisia
 
Wewe utakuwa na ama matatizo ya afya ya akili au chuki dhidi ya walimu.

Jibu swali hili kisha urejee kwenye coment yako, Kipi kinaanza? "kumlisha vizuri ng'ombe ili atoe maziwa mengi au kuanza kumkamua ndipo alishwe vizuri"?

Maana yake ni nini, walimu walipwe vizuri ndipo wataweza kufanya kazi vizuri na hapo ndipo serikali itaweza kuwa na uhalali wa kuwasimamia kwa uzuri.
Utakuwa labda huishi tanzania..... Serikali imeshindwa kila kitu sembuse kulipa mishahara mizuri?
Tusubiri kwanza vyuo vyote vimalize kumpa tuzo ya heshima.
 
Baada ya kuona kila leo kuna mijadala ya kuwadharau walimu ikanibidi niingie Google kujua walimu wanalipwa kiasi gani. Nilichokikuta huko ni aibu!!

Yaaani kwa mwezi mwalimu analipwa posho ya mbunge ya kikao kimoja?

Yaani serikali inaona poa kumlipa allowances askari magereza anayeshinda na wafungwa lakini mwalimu asubiri uchafuzi wa SISIEMU?

HII NI MISHAHARA YA WALIMU 2022/2023!!

B1 = Basic 419,000

Cwt = 8,390.
Pension = 20,950.
Income = 46,090.
Insur = 12,570
Take home = 331,000

C1 = Basic 530,000
Cwt = 10,600.
Pension = 26,500.
Income = 58,300.
Insurance = 15,900
Take home = 418,700

D1= Basic 716,000

Cwt = 14,320.
Pension = 35,800.
Income = 78,760.
Insurance = 21,400
Take home = 565,640

E1 = Basic 940,000

Cwt = 18,800.
Pension = 47,000.
Income = 103,400.
Insurance = 28,200
Take home = 742,600

F1 = Basic 1,235,000

Cwt = 24,700.
Pension = 61,750.
Income = 135,850.
Insurance = 37,050
Take home = 975,650

Source
1703847303427.png

Serikali haina pesa ...
 
Kwanini utumie mapato ya mbunge kama adidu ya rejea? Reference, unalipwa mshahara kutokana na ugumu wa kazi, mbunge anaweza kuwa na miswada, makablasha kama kumi yenye Jurassic miatano kila moja, ya kupitia na kuandaa mchango wake, huwezi kulinganisha na mtu anayesahihisha mitiani!
 
Sawa , ebu. tuone mwisho wenu utakuaje
Mwisho wa nini ndugu? Mbona unamtisha?
Uzi wake uko clear na ni ukweli mtupu.

Wewe kama unausoma kwa mtazamo hasi ni ajabu sana kwako unayejiita DR hata kama ni mtetezi wa serikali.

Ni aibu kwa mwl kupokea sh 300000 akaweza kufanya kazi huku akibanwa kila kona.

Usitishe watu som coments za wachangiaji unaweza faida.
 
Baada ya kuona kila leo kuna mijadala ya kuwadharau walimu ikanibidi niingie Google kujua walimu wanalipwa kiasi gani. Nilichokikuta huko ni aibu!!

Yaaani kwa mwezi mwalimu analipwa posho ya mbunge ya kikao kimoja?

Yaani serikali inaona poa kumlipa allowances askari magereza anayeshinda na wafungwa lakini mwalimu asubiri uchafuzi wa SISIEMU?

HII NI MISHAHARA YA WALIMU 2022/2023!!

B1 = Basic 419,000

Cwt = 8,390.
Pension = 20,950.
Income = 46,090.
Insur = 12,570
Take home = 331,000

C1 = Basic 530,000
Cwt = 10,600.
Pension = 26,500.
Income = 58,300.
Insurance = 15,900
Take home = 418,700

D1= Basic 716,000

Cwt = 14,320.
Pension = 35,800.
Income = 78,760.
Insurance = 21,400
Take home = 565,640

E1 = Basic 940,000

Cwt = 18,800.
Pension = 47,000.
Income = 103,400.
Insurance = 28,200
Take home = 742,600

F1 = Basic 1,235,000

Cwt = 24,700.
Pension = 61,750.
Income = 135,850.
Insurance = 37,050
Take home = 975,650

Source
Mkuu, ukiwa na ajira katika sekta ya elimu, ukiwa na mzazi au mlezi, mume au mke, ukiwa na ndugu wa karibu, rafiki ama jamaa wa karibu ambaye ni mwalimu, huwezi kabisa kutumia lugha ngumu na isiyokuwa na staha kama uliyoitumia juu yao.

Hii ni mojawapo ya ajira nyeti mno hapa nchini. Akili na elimu yako yote imechakatwa kupitia mikono yao. Huwezi kupita katika daraja, kisha ukaanza kuridharau kutokana aina ya muundo wake.

Kumbuka ipo karma ambayo itakuandama katika maisha yako yote hapa duniani kwa kukosa utu na shukurani. Hata kama kuna baadhi ya walimu wamekukwaza kwa namna moja ama nyingine, haiewzi kuwa ni sababu ya wewe kuhalalisha kuwabagaza walimu wote nchini Tanzania.
 
Utakuwa labda huishi tanzania..... Serikali imeshindwa kila kitu sembuse kulipa mishahara mizuri?
Tusubiri kwanza vyuo vyote vimalize kumpa tuzo ya heshima.
Mimi naishi Tanzania, nilikujibu kwa kuwa ulitaka kuhalalisha kuwa wanalipwa kiasi kidogo kwa kuwa hawajitumi ndiyo maana nikakupa mfano kuwa je ng'ombo huanza kukamuliwa kabla ya kulishwa vizuri?

Kwa hiyo ujue kuwa hata kudorora kwa ari ya kazi ni matokeo ya malipo kidogo
 
Kwanini utumie mapato ya mbunge kama adidu ya rejea? Reference, unalipwa mshahara kutokana na ugumu wa kazi, mbunge anaweza kuwa na miswada, makablasha kama kumi yenye Jurassic miatano kila moja, ya kupitia na kuandaa mchango wake, huwezi kulinganisha na mtu anayesahihisha mitiani!
Dah!! Kwahiyo wale jamaa zangu wa machimbo wanaopakia mawe ya ujenzi kwenye trucks wanalipwa bilioni ngapi??
Kazi ngumu ndo unafanyaje??

Ushauri wangu: Mijadala mingine ikupite Mh Mbunge maana bila UCHAFUZI uliyofanywa na walimu wetu yawezekana usingekoment hivi
 
Baada ya kuona kila leo kuna mijadala ya kuwadharau walimu ikanibidi niingie Google kujua walimu wanalipwa kiasi gani. Nilichokikuta huko ni aibu!!

Yaaani kwa mwezi mwalimu analipwa posho ya mbunge ya kikao kimoja?

Yaani serikali inaona poa kumlipa allowances askari magereza anayeshinda na wafungwa lakini mwalimu asubiri uchafuzi wa SISIEMU?

HII NI MISHAHARA YA WALIMU 2022/2023!!

B1 = Basic 419,000

Cwt = 8,390.
Pension = 20,950.
Income = 46,090.
Insur = 12,570
Take home = 331,000

C1 = Basic 530,000
Cwt = 10,600.
Pension = 26,500.
Income = 58,300.
Insurance = 15,900
Take home = 418,700

D1= Basic 716,000

Cwt = 14,320.
Pension = 35,800.
Income = 78,760.
Insurance = 21,400
Take home = 565,640

E1 = Basic 940,000

Cwt = 18,800.
Pension = 47,000.
Income = 103,400.
Insurance = 28,200
Take home = 742,600

F1 = Basic 1,235,000

Cwt = 24,700.
Pension = 61,750.
Income = 135,850.
Insurance = 37,050
Take home = 975,650

Source
Hizi scale ni za 2022/2023 kuna scale mpya za 2023/2024 kama ifuatavyo
B1 ni 479,000
C1 ni 590,000
D1 ni 771,000
 
Maji nimeyatia wapi?? Sijawakejeri walimu kabisa nisome vizuri. Kama umeishi Dar es Salaam, ukiangalia gharama za usafiri let say boda kutoka gheto uliko panga ni 1000 mpaka kituo cha daladala x 2 [nenda rudi) + 3,000 ya dalala jumlisha 2000 boda kituoni mpaka shuleni chai 2,000 cha mchana 3,000
Jumla X siku za kazi then rudi kwenye swali langu la msingi.

Hapa usiku bado
Kodi bado
Umeme bado
Mavazi
Vocha
Nk
Umesahau na Tozo za sim bado
 
Mkuu, ukiwa na ajira katika sekta ya elimu, ukiwa na mzazi au mlezi, mume au mke, ukiwa na ndugu wa karibu, rafiki ama jamaa wa karibu ambaye ni mwalimu, huwezi kabisa kutumia lugha ngumu na isiyokuwa na staha kama uliyoitumia juu yao.

Hii ni mojawapo ya ajira nyeti mno hapa nchini. Akili na elimu yako yote imechakatwa kupitia mikono yao. Huwezi kupita katika daraja, kisha ukaanza kuridharau kutokana aina ya muundo wake.

Kumbuka ipo karma ambayo itakuandama katika maisha yako yote hapa duniani kwa kukosa utu na shukurani. Hata kama kuna baadhi ya walimu wamekukwaza kwa namna moja ama nyingine, haiewzi kuwa ni sababu ya wewe kuhalalisha kuwabagaza walimu wote nchini Tanzania.
Wewe siyo mwl bali ni mpiga "tarumbeta" ama wa serikali au chama cha mapinduzi.

Walimu wenyewe halisi humu ndani wametulia maana ukweli huu unawachoma hadi ktk mifupa.
 
Yaani mwalimu wa daraja F anakalishwa chini na mlinzi wa Bandari.
Na hiyo F hadi ufike una miaka 10,13 hadi 15 kazini...
Inategemea na uliazia Elimu gani..

Hakuna namna wacha tuone..

Em fikiria walioajiriwa 2019 waliambiwa hadi wakae miaka 5 ndo wapandishwe.

Haya Mambo ndo yanaleta dharau ktk kada hii..
 
Back
Top Bottom