Walimu wa Tanzania ndio maana wanadharauliwa na kila mtu

Sasa hawa ndio wanafundisha watoto wenu
Unaweza kujua mwanao ni famba kiasi gani??
 
🤣🤣🙄🤔
 
Kosa kubwa sana. Hii kada sijui ni lini itajitambua, tatizo linaanza kwa viongozi wao.
 
Hivi hao wanaokula laki 3 Makazi, Chakula, Mavazi USAFIRI, vocha na matwaka binafsi wanayamudu vipi??
Ndio maana si rahisi shule za serikali kucompete kimatokeo na quality ya elimu inayotolewa na shule za private.Walimu wa shule za serikali njaa kali na ukizingatia nguvu ya askari iko tumboni mwake na wanadai madai mbalimbali mfano likizo na malimbikizo lakini hakuna anayejali ni ahadi tu.Serikali itakapoanza kujali maslahi ya walimu urgently watoto wetu wataanza kupata elimu bora tujipe muda
 
Sasa kenya watajifunza nini wewe jamaa....
Kenya haina elimu nzuri kama hii yetu sema wao ni ile wako serious na suala la elimu.
Hongera kusomesha kenya.
 
Hivi hao wanaokula laki 3 Makazi, Chakula, Mavazi USAFIRI, vocha na matwaka binafsi wanayamudu vipi??
Wewe unafanya kazi gani na kipato chako ni shillingi ngapi?
Kwa sababu kama ni mfanyakazi mishahara inajulikana.Au wewe wanabee milionea?Na unaendesha BMW ya 2023?
 
Kipato cha watanzania walio wengi hakifiki 300,000 kwa mwezi. Chukua wafanya biashara za kawaida, wakulima wadogo, wafugaji wa kawaida nk.
Kwa ujumla umasikini ni wa watanzania wakiwemo walimu.
Labda tutafute suluhisho...
 
Weka mishahara ya Kada zingine pia
Afya, kilimo, Askari, magereza nk
 
Wewe unafanya kazi gani na kipato chako ni shillingi ngapi?
Kwa sababu kama ni mfanyakazi mishahara inajulikana.Au wewe wanabee milionea?Na unaendesha BMW ya 2023?
Mimi ni mkulima ni Kanyigo. Naishi kwangu na kwenda shambani situmii usafiri. Una swali lingine mdada mzuri Tui ??
 
Mimi ni mkulima ni Kanyigo. Naishi kwangu na kwenda shambani situmii usafiri. Una swali lingine mdada mzuri Tui ??
Sijakukejeli so usianze matusi.Huna hadhi ya kuwasema waalimu wakati wewe mwenyewe tia maji tia maji.
 
Weka mishahara ya Kada zingine pia
Afya, kilimo, Askari, magereza nk
Afya wana posho, night na overtime, Kilimo wanakafanyia kazi vijijini, means wanakula mashambani na wana marupurupu kwenye pembejeo na viwatirifu pamoja na posho za wakulima, Askari, wana posho ya laki 3 ambayo haikatwi kodi (sawa na mshahara wa mwalimu), posho ya makazi, posho ya vinywaji, posho ya taaluma, (meningine dhambi) magereza vilevile nao ni askari.

Bado unataka ulinganishe na walimu wanaouza kashata shuleni??

We kweli Kifuru Kutu.
 
Sijakukejeli so usianze matusi.Huna hadhi ya kuwasema waalimu wakati wewe mwenyewe tia maji tia maji.
Maji nimeyatia wapi?? Sijawakejeri walimu kabisa nisome vizuri. Kama umeishi Dar es Salaam, ukiangalia gharama za usafiri let say boda kutoka gheto uliko panga ni 1000 mpaka kituo cha daladala x 2 [nenda rudi) + 3,000 ya dalala jumlisha 2000 boda kituoni mpaka shuleni chai 2,000 cha mchana 3,000
Jumla X siku za kazi then rudi kwenye swali langu la msingi.

Hapa usiku bado
Kodi bado
Umeme bado
Mavazi
Vocha
Nk
 
Mkuu weka namba mwisho wa mwezi wanapata kiasi gani zaidi ya hapo walimu
 
Reactions: Tui
Mkuu weka namba mwisho wa mwezi wanapata kiasi gani zaidi ya hapo walimu
Nimejaribu ku Google mishahara ya askari bado sijapata source mujaribu. Sitaki maswala ya niamini mimi wakati kuna vyanzo vya kuaminika na bahati mbaya nshakunywa hizi pombe zetu feki afu Arsenal kapigwa!! Kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…