mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Bila shaka wewe utakua jobless! Na umekosa mpaka Sensa.walimu mnadharauliwa na jobless sababu mnapigana nao vikumbo kwenye tuajira twa sensa,
hamtaheshimika hata mfanyeje
Unaanzaje kuwaheshim hawa walimu ambao wanakubali kuchapwa viboko na Mkuu wa wilaya[emoji23][emoji23]Walimu wanabezwa sana, hii siyo sawa! Kila anayelalamika anabambikizwa kuwa mwalimu kana kwamba ualimu ni kazi ya kudharauliwa! Sisemi kuwa walimu hawajalalamikia hii nyongeza ya ajabu ajabu ya mshahara, ila siyo kweli kuwa watumishi wengine hawalalamiki.
Tunajenga taswira kuwa ualimu ni kazi ya hadhi ya chini yenye kipato kidogo kuliko kazi zingine zote wakati si kweli! Nasema hii tabia ikome na ikome kabisa!! Kutokuheshimu walimu ni sawa na kutokuheshimu wazazi, matokeo yake ni laana tu.
Imeshakuwa kazi ya kipuuzi....nilisema hapa....wale walimu mahiri mwisho wao wa kiachana na dharau ni huu.Walimu wanabezwa sana, hii siyo sawa! Kila anayelalamika anabambikizwa kuwa mwalimu kana kwamba ualimu ni kazi ya kudharauliwa! Sisemi kuwa walimu hawajalalamikia hii nyongeza ya ajabu ajabu ya mshahara, ila siyo kweli kuwa watumishi wengine hawalalamiki.
Tunajenga taswira kuwa ualimu ni kazi ya hadhi ya chini yenye kipato kidogo kuliko kazi zingine zote wakati si kweli! Nasema hii tabia ikome na ikome kabisa!! Kutokuheshimu walimu ni sawa na kutokuheshimu wazazi, matokeo yake ni laana tu.
Kweli tupu, walimu wana posho gani zaidi ya kuvizia zoezi la sensa baada ya 10 years?Walimu wanabezwa sana, hii siyo sawa! Kila anayelalamika anabambikizwa kuwa mwalimu kana kwamba ualimu ni kazi ya kudharauliwa! Sisemi kuwa walimu hawajalalamikia hii nyongeza ya ajabu ajabu ya mshahara, ila siyo kweli kuwa watumishi wengine hawalalamiki.
Tunajenga taswira kuwa ualimu ni kazi ya hadhi ya chini yenye kipato kidogo kuliko kazi zingine zote wakati si kweli! Nasema hii tabia ikome na ikome kabisa!! Kutokuheshimu walimu ni sawa na kutokuheshimu wazazi, matokeo yake ni laana tu.
Walimu ndiyo kundi la wajinga haswaPenal colony huwa hawa elewi hapo wakipewa ajira ya muda mfupi wa Sensa wanasahau kila kitu
NanukuuWalimu wanabezwa sana, hii siyo sawa! Kila anayelalamika anabambikizwa kuwa mwalimu kana kwamba ualimu ni kazi ya kudharauliwa! Sisemi kuwa walimu hawajalalamikia hii nyongeza ya ajabu ajabu ya mshahara, ila siyo kweli kuwa watumishi wengine hawalalamiki.
Tunajenga taswira kuwa ualimu ni kazi ya hadhi ya chini yenye kipato kidogo kuliko kazi zingine zote wakati si kweli! Nasema hii tabia ikome na ikome kabisa!! Kutokuheshimu walimu ni sawa na kutokuheshimu wazazi, matokeo yake ni laana tu.
Unamnukuu nani huyo mwongo ngoja nikupe data:Nanukuu
" ...ualimu ni kazi ya hadhi ya chini yenye kipato kidogo kuliko kazi zingine zote.... "
Mwisho wa kunukuu
Haya.Walimu wanabezwa sana, hii siyo sawa! Kila anayelalamika anabambikizwa kuwa mwalimu kana kwamba ualimu ni kazi ya kudharauliwa! Sisemi kuwa walimu hawajalalamikia hii nyongeza ya ajabu ajabu ya mshahara, ila siyo kweli kuwa watumishi wengine hawalalamiki.
Tunajenga taswira kuwa ualimu ni kazi ya hadhi ya chini yenye kipato kidogo kuliko kazi zingine zote wakati si kweli! Nasema hii tabia ikome na ikome kabisa!! Kutokuheshimu walimu ni sawa na kutokuheshimu wazazi, matokeo yake ni laana tu.
Ulikuwa na taarifa potofu kuhusu ualimu, pole sana!Nilikuwa mwalimu pale Mawe matatu Misungwi, nikaona ualimu ni ukuda, nikaacha.
Endeleeni kudharau... Watabana Kila Kona ... Hakuna kuachia... Iwe sensa, iwe kura , iwe chochote... Pesa haipaswi kuachwa... Iwe ndogo, iwe kubwa fedha haiachwi. Mwalimu pambana ... Kelele za mlevi na mwendawazimu zisikutoe kwenye reli... Kaba Kila Kona !!! Wenye kulia walie, wenye kutukana watukane, wenye kuharisha vyoo na vichaka vipo... Washenzi ni washenzi tu !!walimu mnadharauliwa na jobless sababu mnapigana nao vikumbo kwenye tuajira twa sensa,
hamtaheshimika hata mfanyeje