Walimu wakuu siku hizi wamekuwa wasimamizi wa Majengo

DALALI MKUU

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2022
Posts
2,011
Reaction score
4,705
Kupitia ukurasa wa Instagram wa Mchambuzi wa soka na Mwalimu Oscar Oscar Mzee wa kaliua ameandika

Walimu Wakuu siku hizi kazi yao kubwa imekuwa ni kusimamia Ujenzi na Miradi ya Maendeleo! Hawafundishi tena! Hawasimamii Taaluma tena!

Tungewaacha Waalimu kwenye TAALUMA, then huku kwenye Ujenzi na usimamizi wa Miradi ya maendeleo wapewe Wataalamu wa eneo hilo."

By Mwalimu Oscar Oscar
 
Shida nikwamba uharibifu wowote au ubigaji wote na hasara katika miradi husika mkuu wa shule anawajibika kujibu .Swali la Kwanza ulikuwa wapi kipindi upigaji unafanyika.. Pm yako vp
 
Serikali ni wajanja wanyonyaji kwa sababu inawatumia walimu na local fundi ili kupunguza gharama, lakini haiwapi walimu fedha ya usimamizi.

Kwa mfano, katika milioni 20 za darasa moja, walimu watajibana kwa sababu ya woga na kuzoea shida hadi darasa litaisha, lakini akipewa Injinia wa manispaa hizo milioni 20 zitaishia kujenga boma tu na atatoa sababu za msingi za kitaalamu katika bajeti yake hiyo!

Hapa cha kufanya, serikali iwaangalie walimu kwenye hii miradi kwa kuwapa posho za usimamizi, na siyo kigezo cha uzalendo!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kupitia ukurasa wa Instagram wa Mchambuzi wa soka na Mwalimu Oscar Oscar Mzee wa kaliua ameandika

Walimu Wakuu siku hizi kazi yao kubwa imekuwa ni kusimamia Ujenzi na Miradi ya Maendeleo! Hawafundishi tena! Hawasimamii Taaluma tena!

Tungewaacha Waalimu kwenye TAALUMA, then huku kwenye Ujenzi na usimamizi wa Miradi ya maendeleo wapewe Wataalamu wa eneo hilo."

By Mwalimu Oscar Oscar
Huyu ni mwalimu wa nini?asituchanganye hapa
 
Force account wakati mwingine huingia kwenye madeni walimu wakuu
Kwa nini hawapigi hesabu vizuri hao wakuu?

Halafu serikali imefanikiwa sana kukamilisha madarasa yake kupitia huu utaratibu mana mara nyingi ujenzi unakamilika na wakuu wasio makini wanaingia madeni ya wazabuni.

Wangekuwa wanapewa ma-injinia wa halamshauri ingekuwa kelele kila mwaka za viongozi kulalamika + kutumbuana.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Dalali mkuu habari yako ndugu pm yako no answer hujafanikiwa ndugu kutuma ule mzigo Niko na mtu hapo Dar unaweza nisaidia kupitia huyo ndugu
 
Kupitia ukurasa wa Instagram wa Mchambuzi wa soka na Mwalimu Oscar Oscar Mzee wa kaliua ameandika

Walimu Wakuu siku hizi kazi yao kubwa imekuwa ni kusimamia Ujenzi na Miradi ya Maendeleo! Hawafundishi tena! Hawasimamii Taaluma tena!

Tungewaacha Waalimu kwenye TAALUMA, then huku kwenye Ujenzi na usimamizi wa Miradi ya maendeleo wapewe Wataalamu wa eneo hilo."

By Mwalimu Oscar Oscar

JamiiForums
Habari na Hoja mchanganyiko
Walimu wakuu siku hizi wamekuwa wasimamizi wa Majengo
Thread starterDALALI MKUU Start dateThursday at 11:57 AM Tagshizi majengo siku siku hizi wakuu walimu wasimamizi
Unwatch

•••
DALALI MKUU
JF-Expert Member
Thursday at 11:57 AM
Add bookmark
#1
Kupitia ukurasa wa Instagram wa Mchambuzi wa soka na Mwalimu Oscar Oscar Mzee wa kaliua ameandika

Walimu Wakuu siku hizi kazi yao kubwa imekuwa ni kusimamia Ujenzi na Miradi ya Maendeleo! Hawafundishi tena! Hawasimamii Taaluma tena!

Tungewaacha Waalimu kwenye TAALUMA, then huku kwenye Ujenzi na usimamizi wa Miradi ya maendeleo wapewe Wataalamu wa eneo hilo."

By Mwalimu Oscar Oscar
Thanks Thanks Quote ReplyReport
Thanks Reactions:You, mpwayungu village and ndege JOHN
Kennedy
Kennedy
JF-Expert Member
Thursday at 11:58 AM
Add bookmark
#2
Force Account
Thanks Quote ReplyReport
ThanksKicheko Reactions😀ALALI MKUU and mpwayungu village
namba force
namba force
JF-Expert Member
Thursday at 12:55 PM
Add bookmark
#3
Taja kabisa wako huko?
Thanks Quote ReplyReport
MshangaoThanks Reactions😀ALALI MKUU and mpwayungu village
Mkoko kisu
JF-Expert Member
Thursday at 1:24 PM
Add bookmark
#4
Ttzo ujuaji mwing ebu tupunguze ujuaji
Thanks Quote ReplyReport
MasikitikoThanks Reactions😀ALALI MKUU and mpwayungu village
Jimmykazi
Jimmykazi
Member
Thursday at 2:40 PM
Add bookmark
#5
DALALI MKUU said:
Kupitia ukurasa wa Instagram wa Mchambuzi wa soka na Mwalimu Oscar Oscar Mzee wa kaliua ameandika

Walimu Wakuu siku hizi kazi yao kubwa imekuwa ni kusimamia Ujenzi na Miradi ya Maendeleo! Hawafundishi tena! Hawasimamii Taaluma tena!

Tungewaacha Waalimu kwenye TAALUMA, then huku kwenye Ujenzi na usimamizi wa Miradi ya maendeleo wapewe Wataalamu wa eneo hilo."

By Mwalimu Oscar Oscar
Click to expand...Shida nikwamba uharibifu wowote au ubigaji wote na hasara katika miradi husika mkuu wa shule anawajibika kujibu .Swali la Kwanza ulikuwa wapi kipindi upigaji unafanyika.. Pm yako vp
Quote ReplyReport Edit Delete
Thanks Reactions:mpwayungu village
mpwayungu village
mpwayungu village
JF-Expert Member
Thursday at 2:46 PM
Add bookmark
#6
Yupo sahihi, walimu wengi vilaza cha ajabu unampa kazi ya kusimamia jengo hata premises survey hajui
Thanks Quote ReplyReport
KichekoThanks Reactions:Adolph hitler jr, DALALI MKUU and Duduvwili
evonik
evonik
JF-Expert Member
Thursday at 2:55 PM
Add bookmark
#7
Mradi wenyewe mmoja kwa mwaka, kwanza wakuu hao hawafundishi, akifundisha ni somo moja tena civics form one
Thanks Quote ReplyReport
ThanksKicheko Reactions😀ALALI MKUU and mpwayungu village
Duduvwili
Duduvwili
JF-Expert Member
Thursday at 3:15 PM
Add bookmark
#8
mpwayungu village said:
Yupo sahihi, walimu wengi vilaza cha ajabu unampa kazi ya kusimamia jengo hata premises survey hajui
Pumbu zako mbuzi jike wewe
Thanks Quote ReplyReport
ThanksMshangao Reactions:ummumuhammad, DALALI MKUU and mpwayungu village
mpwayungu village
mpwayungu village
JF-Expert Member
Thursday at 3:19 PM
Add bookmark
#9
Duduvwili said:
Pumbu zako mbuzi jike wewe
Wacha weeee
Thanks Quote ReplyReport
Thanks Reactions:mrangi
mrangi
mrangi
JF-Expert Member
Friday at 3:08 PM
Add bookmark
#10
mpwayungu village said:
Wacha weeee
Hahah huyo mwalimu atakuwa

Ova
Thanks Quote ReplyReport
Thanks Reactions:mpwayungu village
Umkonto
JF-Expert Member
Saturday at 8:36 AM
Add bookmark
#11
Serikali ni wajanja wanyonyaji kwa sababu inawatumia walimu na local fundi ili kupunguza gharama, lakini haiwapi walimu fedha ya usimamizi.

Kwa mfano, katika milioni 20 za darasa moja, walimu watajibana kwa sababu ya woga na kuzoea shida hadi darasa litaisha, lakini akipewa Injinia wa manispaa hizo milioni 20 zitaishia kujenga boma tu na atatoa sababu za msingi za kitaalamu katika bajeti yake hiyo!

Hapa cha kufanya, serikali iwaangalie walimu kwenye hii miradi kwa kuwapa posho za usimamizi, na siyo kigezo cha uzalendo!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Thanks Quote ReplyReport
Thanks Reactions:mpwayungu village
DullyJr
DullyJr
JF-Expert Member
Saturday at 9:14 AM
Add bookmark
#12
DALALI MKUU said:
Kupitia ukurasa wa Instagram wa Mchambuzi wa soka na Mwalimu Oscar Oscar Mzee wa kaliua ameandika

Walimu Wakuu siku hizi kazi yao kubwa imekuwa ni kusimamia Ujenzi na Miradi ya Maendeleo! Hawafundishi tena! Hawasimamii Taaluma tena!

Tungewaacha Waalimu kwenye TAALUMA, then huku kwenye Ujenzi na usimamizi wa Miradi ya maendeleo wapewe Wataalamu wa eneo hilo."

By Mwalimu Oscar Oscar
Click to expand...Huyu ni mwalimu wa nini?asituchanganye hapa
Thanks Quote ReplyReport
Adolph hitler jr
Adolph hitler jr
JF-Expert Member
Saturday at 9:28 AM
Add bookmark
#13
mpwayungu village said:
Yupo sahihi, walimu wengi vilaza cha ajabu unampa kazi ya kusimamia jengo hata premises survey hajui
Nisingekukuta huku ningeshangaa ...😅😅😅😅
Thanks Quote ReplyReport
ThanksKicheko Reactions😀ALALI MKUU and mpwayungu village
galilaya kwetu
New Member
Sunday at 12:49 AM
Add bookmark
#14
Force account wakati mwingine huingia kwenye madeni walimu wakuu
Thanks Quote ReplyReport
Umkonto
JF-Expert Member
Sunday at 11:11 AM
Add bookmark
#15
galilaya kwetu said:
Force account wakati mwingine huingia kwenye madeni walimu wakuu
Kwa nini hawapigi hesabu vizuri hao wakuu?

Halafu serikali imefanikiwa sana kukamilisha madarasa yake kupitia huu utaratibu mana mara nyingi ujenzi unakamilika na wakuu wasio makini wanaingia madeni ya wazabuni.

Wangekuwa wanapewa ma-injinia wa halamshauri ingekuwa kelele kila mwaka za viongozi kulalamika + kutumbuana.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Thanks Quote ReplyReport
Jimmykazi
Jimmykazi
Member
A moment ago
Add bookmark
#16
Dalali mkuu habari yako ndugu pm yako no answer hujafanikiwa ndugu kutuma ule mzigo Niko na mtu hapo Dar unaweza nisaidia kupitia huyo ndugu
Quote ReplyReport Edit Delete

Post reply

Attach files

Insert quotes…
Similar Discussions
Msanii
Nini tija ya Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kwa Walimu?
Started by Msanii Dec 17, 2022 Replies: 41
Habari na Hoja mchanganyiko
peno hasegawa
Mbunge wa CCM ahoji walimu wakuu kusimamia ujenzi wa madarasa na nyumba za walimu
Started by peno hasegawa Jun 16, 2022 Replies: 6
Jukwaa la Siasa
Roving Journalist
Rai imetolewa kwa walimu wote wa shule za msingi na sekondari na vyuo nchini kupunguza matumizi ya viboko
Started by Roving Journalist Dec 17, 2022 Replies: 18
Habari na Hoja mchanganyiko
Analogia Malenga
Walimu Sekondari ya Aga Khan wagoma kisa Ubaguzi wa Rangi
Started by Analogia Malenga May 24, 2022 Replies: 187
Habari na Hoja mchanganyiko
Waziri Mkuu Majaliwa awapongeza Wakuu wa Mikoa/Wilaya kwa usimamizi mzuri wa Miradi ya Maendeleo
Started by blix22 Jan 3, 2022 Replies: 3
Habari na Hoja mchanganyiko
Share
Habari na Hoja mchanganyiko
Contact us Terms Privacy Policy Help
3 Reactions
Reply
 
Back
Top Bottom