Rocky City
JF-Expert Member
- Nov 22, 2017
- 1,014
- 816
Walio kuwa wanatiki masanduku ya kura sio nyie?Acha kuwasimanga walimu,mwalimu hana mchango wowote wa kuweka CCM madarakani labda kama unawazungumzia manjagu
Walimu wanaonewa sanaAcha kuwasimanga walimu,mwalimu hana mchango wowote wa kuweka CCM madarakani labda kama unawazungumzia manjagu
Ni wapumbavu mkuu,ndio mana wakitoka wakawa na uongozi wa juu,hayakumbukanagi.Walimu wanaonewa sana
Sana yaani!Walimu wanaonewa sana
Dada JoannahAcha kuwasimanga walimu,mwalimu hana mchango wowote wa kuweka CCM madarakani labda kama unawazungumzia manjagu
Hawa wote mnawatesa tu😂😂😂 walimu walimu walimu kuwatetea n kazi ngumu
Kuna vikundi vingine viwili umevisahau navyo ni
Poiceccm
Village executive ccm
Mkuu hivi huamini kuwa walikuwa wanachukua karatasi za kura na kuweka tiki?Hawa wote mnawatesa tu
Niambie mdogo wangu
Hizo karatasi sio zinazoleta machafukoMkuu hivi huamini kuwa walikuwa wanachukua karatasi za kura na kuweka tiki?
katika kipindi cha nyerere Mwalimu alikuwa na heshima sana na alikuwa na mshahara mkubwa kuliko hta baadhi ya kada zingine..Ni wapumbavu mkuu,ndio mana wakitoka wakawa na uongozi wa juu,hayakumbukanagi.
Huoni nyerere,majaliwa,na wengine waliokuwa walimu.
Kada imelaaniwa hii ni ya kukanyaga tu.
Walimu pepmis imewafanyaje?Huenda kada ya walimu ni kada yenye laana, masikini na isiyo jielewa, hii ndio kada pekee inayo tumiwa na CCM kuwekwa madarakani, Oktoba 29 wao pia walichangia kwa asilimia kubwa sana, vipande vya laki na 40,140000 walivyo pewa wakaona ndio posho ya maana, sasa hivi wanalia mtaani wamegomewa kupanda madaraja kisa pepmisi, huo mda mlio kuwa mjatiki kura mngejaza pepmisi wajinga wakubwa nyie, MA CCM shikirieni hapo hapo labda akili zitawakaa sawa sawa, nayachukia malimu sana.
Miss you my dada🥰Niambie mdogo wangu
Unaacha kuwalaumu waliotumia silahq za moto unawakazania walimuMkuu hivi huamini kuwa walikuwa wanachukua karatasi za kura na kuweka tiki?