pambe samanini
JF-Expert Member
- Oct 27, 2015
- 464
- 271
Kama taifa tunayo safari ndefu ya kujielimisha juu ya mstakabali wa taifa letu na watu wake.
Jambo baya likitokea kila wakati Kuna watu hutupiwa virago. Mawali yangu kwao
Uko wapi msingi wa utaifa wetu?
Wapi tulianza kuteleza na kuanguka?
Je, Walimu hao ndiyo hawajakupa elimu amabyo unatia kuwananga?
Wewe kama msomi unahisi ualimu cute ili kubadili fikra na mitazamo ya taifa na watu wake?
Tuna kila sababu ya kuwalaumu walimu lakini siyo kwa ulazima na umuhimu. Joka lazima lijitoe gamba