PeterwaPerer
JF-Expert Member
- Sep 12, 2024
- 292
- 336
Kumbe kulikuwa na uchaguzi?
Mbona vigeu geu sana nyinyi watu
Mbona vigeu geu sana nyinyi watu
Am happy kusikia hii from youMiss you my dada🥰
Ahsanteee karibu chinangali 1 tule kukuAm happy kusikia hii from you
Walimu kila jumba bovu tunaangushiwa sisi dahSana yaani!
wewe sio mwanasiasa mzuri, nikupe siri moja ya mwanasiasa mzuri..lazima awe mnafki na anayejua kula na kipofu. Hao unaowatukana ndio wapiga kura wa mwaka ujao ulipaswa kuwafariji kinafki ili waone walipo pata na walipo kosea...Fikiri kabla ya kutapika...Kingine mwanasiasa mzuri huwezi kumgundua yupi ni rafiki yake na yupi ni adui yake ila mwenyewe anajua na anaishi nao wote kama marafiki...na hii kitu wengi wanafeli ndo maana hata wapiga kura hawana imani nao.Huenda kada ya walimu ni kada yenye laana, masikini na isiyo jielewa, hii ndio kada pekee inayo tumiwa na CCM kuwekwa madarakani, Oktoba 29 wao pia walichangia kwa asilimia kubwa sana, vipande vya laki na 40,140000 walivyo pewa wakaona ndio posho ya maana, sasa hivi wanalia mtaani wamegomewa kupanda madaraja kisa pepmisi, huo mda mlio kuwa mjatiki kura mngejaza pepmisi wajinga wakubwa nyie, MA CCM shikirieni hapo hapo labda akili zitawakaa sawa sawa, nayachukia malimu sana.
Mimi sio mwanasiasa mkuuwewe sio mwanasiasa mzuri, nikupe siri moja ya mwanasiasa mzuri..lazima awe mnafki na anayejua kula na kipofu. Hao unaowatukana ndio wapiga kura wa mwaka ujao ulipaswa kuwafariji kinafki ili waone walipo pata na walipo kosea...Fikiri kabla ya kutapika...Kingine mwanasiasa mzuri huwezi kumgundua yupi ni rafiki yake na yupi ni adui yake ila mwenyewe anajua na anaishi nao wote kama marafiki...na hii kitu wengi wanafeli ndo maana hata wapiga kura hawana imani nao.
Wanabweka kama ma mbwa majalalani,mengi hayapandi vyeo,yamepigwa bani hata yaliyo kijijini mtandao hakuna yote yamejumuishwa.Walimu pepmis imewafanyaje?
Shida nini, hawakujaza au walijaza nusu?Wanabweka kama ma mbwa majalalani,mengi hayapandi vyeo,yamepigwa bani hata yaliyo kijijini mtandao hakuna yote yamejumuishwa.
Ndio ujue ni majinga kweli kweli.
AsanteAcha kuwasimanga walimu,mwalimu hana mchango wowote wa kuweka CCM madarakani labda kama unawazungumzia manjagu
Binafsi walimu ninaowafahamu wote ni harakati...Huenda kada ya walimu ni kada yenye laana, masikini na isiyo jielewa, hii ndio kada pekee inayo tumiwa na CCM kuwekwa madarakani, Oktoba 29 wao pia walichangia kwa asilimia kubwa sana, vipande vya laki na 40,140000 walivyo pewa wakaona ndio posho ya maana, sasa hivi wanalia mtaani wamegomewa kupanda madaraja kisa pepmisi, huo mda mlio kuwa mjatiki kura mngejaza pepmisi wajinga wakubwa nyie, MA CCM shikirieni hapo hapo labda akili zitawakaa sawa sawa, nayachukia malimu sana.
Walimu wa humu wasemeShida nini, hawakujaza au walijaza nusu?
Wewe ndugu acha kupinga, tunajua ukweli kwamba hua wana shinikizwa kusimamia uchaguzi na hapo huamuliwa kuisaidia ccm kupindisha matokeo.Acha kuwasimanga walimu,mwalimu hana mchango wowote wa kuweka CCM madarakani labda kama unawazungumzia manjagu
Sawa..wewe sio mwanasiasa bali ni mshabiki tu..Mimi sio mwanasiasa mkuu
acha upotoshaji useless gentleman,Huenda kada ya walimu ni kada yenye laana, masikini na isiyo jielewa, hii ndio kada pekee inayo tumiwa na CCM kuwekwa madarakani, Oktoba 29 wao pia walichangia kwa asilimia kubwa sana, vipande vya laki na 40,140000 walivyo pewa wakaona ndio posho ya maana, sasa hivi wanalia mtaani wamegomewa kupanda madaraja kisa pepmisi, huo mda mlio kuwa mjatiki kura mngejaza pepmisi wajinga wakubwa nyie, MA CCM shikirieni hapo hapo labda akili zitawakaa sawa sawa, nayachukia malimu sana.