Walimu waliweka tiki Oktoba 29, wamepigwa pini madaraja wanatoa milio

Kama taifa tunayo safari ndefu ya kujielimisha juu ya mstakabali wa taifa letu na watu wake.
Jambo baya likitokea kila wakati Kuna watu hutupiwa virago. Mawali yangu kwao
Uko wapi msingi wa utaifa wetu?
Wapi tulianza kuteleza na kuanguka?
Je, Walimu hao ndiyo hawajakupa elimu amabyo unatia kuwananga?
Wewe kama msomi unahisi ualimu cute ili kubadili fikra na mitazamo ya taifa na watu wake?
Tuna kila sababu ya kuwalaumu walimu lakini siyo kwa ulazima na umuhimu. Joka lazima lijitoe gamba
 
Ulichosema kina ukweli na kinaumiza.. ila hatuna namna ndugu
 
Fact
 
Si walichangia kumnunulia samia fomu bado hawajjapandishwa tu.
 
Mkuu Fanya tathimini upya juu ya uwezo wa ubongo wako kufikiria sawa sawa. Ubongo wako unakupoteza na kukushushia CV yako bure tu.
Walimu hawana uwezo wa kuwa Fanya CCM washinde uchaguzi, nadhani hujui namna uchaguzi unavyoendeshwa.
 
Mkuu Fanya tathimini upya juu ya uwezo wa ubongo wako kufikiria sawa sawa. Ubongo wako unakupoteza na kukushushia CV yako bure tu.
Walimu hawana uwezo wa kuwa Fanya CCM washinde uchaguzi, nadhani hujui namna uchaguzi unavyoendeshwa.h
Hata ww hujui kitu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…