Adharusi
JF-Expert Member
- Jan 22, 2012
- 14,422
- 7,350
Chama cha walimu Tanzania kinaazimisha miaka 30 ya kuanzishwa kwake kwa ajili ya kujitathimini na kutafakari kwa safari yenye milima na mabonde kuanzia November 1993 mpaka Leo 2023 November
Hakika maazimisho hayo mgeni Rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, kwasababu litakua nikusanyiko la walimu wote Tanzania, wanakutana Mwanza
Walimu wana amu ya kukutana na Rais wao ,wana amu ya kumsikia akiongea katika siku yao na kuwapa matumaini walimu wa Tanzania
Karibu Rais Samia Mwanza kuongea na Walimu Disemba 13