Walimu wamsubiri Rais Samia kwa hamu kwenye maadhimisho ya miaka 30 ya CWT Mwanza

Yaani wewe ndio Mwalimu unaandika amu badala ya Hamu..Daah mmetutoa mbali ila nyie wa kizazi hiki cha sasa....!?
Hizo mbinu za uandishi kuifanya threads kuwa active ,ili kila mtu achangie ,wapo waliochangia ujumbe ,wapo waliochangia kwa kuona makosa ya uandishi ..uzi umesogea
 
Chama cha walimu Tanzania kinaazimisha miaka 30 ya kuanzishwa kwake kwa ajili ya kujitathimini na kutafakari kwa safari yenye milima na mabonde kuanzia November 1993 mpaka Leo 2023 November

Hakika maazimisho hayo mgeni Rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, kwasababu litakua nikusanyiko la walimu wote Tanzania, wanakutana Mwanza

Walimu wana amu ya kukutana na Rais wao ,wana amu ya kumsikia akiongea katika siku yao na kuwapa matumaini walimu wa Tanzania

Karibu Rais Samia Mwanza kuongea na Walimu Disemba 13
Sasa kama na wewe ni Mwalimu wanafunzi si unawalisha matango pori kweli! "amu" ndo kitu gani?

Katika makundi yanayopoteza umakini kwa kasi sana ni kundi la Walimu
 
Chama cha walimu Tanzania kinaazimisha miaka 30 ya kuanzishwa kwake kwa ajili ya kujitathimini na kutafakari kwa safari yenye milima na mabonde kuanzia November 1993 mpaka Leo 2023 November

Hakika maazimisho hayo mgeni Rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, kwasababu litakua nikusanyiko la walimu wote Tanzania, wanakutana Mwanza

Walimu wana amu ya kukutana na Rais wao ,wana amu ya kumsikia akiongea katika siku yao na kuwapa matumaini walimu wa Tanzania

Karibu Rais Samia Mwanza kuongea na Walimu Disemba 13
Kama kuna walimu humu nawashauri tu hamieni chakuhawata ndio chama bora cha walimu ,cwt watawaua kwa shida .
 
Chama cha walimu Tanzania kinaazimisha miaka 30 ya kuanzishwa kwake kwa ajili ya kujitathimini na kutafakari kwa safari yenye milima na mabonde kuanzia November 1993 mpaka Leo 2023 November

Hakika maazimisho hayo mgeni Rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, kwasababu litakua nikusanyiko la walimu wote Tanzania, wanakutana Mwanza

Walimu wana amu ya kukutana na Rais wao ,wana amu ya kumsikia akiongea katika siku yao na kuwapa matumaini walimu wa Tanzania

Karibu Rais Samia Mwanza kuongea na Walimu Disemba 13

Kama na wewe ni Mwalimu!! Elimu yetu inashida sana.
 
Hakutakuwa na jipya zaidi ya kupapaswa na kutulizwa
1.mwl hapaswi kulipa bodi ya mkopo
2.teaching allowances hazipo
3.hela za likizo ni hazipo kabisa kwa miaka zaidi ya 10
4.Madaraja yamegeuka chambo utapanda utapanda zimekuwa nyiiingi
5.ofisi hakuna ni madarasa na viti vya wanafunzi ndio ofisi
6.kila mtu bosi diwani,afisa elimu kata,mkuu wa shule,afisa elimu,mkurugenzi ,waziri,katibu,mzazi
We ukitaka umaarufu deal na teacher
 
Chama cha walimu Tanzania kinaazimisha miaka 30 ya kuanzishwa kwake kwa ajili ya kujitathimini na kutafakari kwa safari yenye milima na mabonde kuanzia November 1993 mpaka Leo 2023 November

Hakika maazimisho hayo mgeni Rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, kwasababu litakua nikusanyiko la walimu wote Tanzania, wanakutana Mwanza

Walimu wana amu ya kukutana na Rais wao ,wana amu ya kumsikia akiongea katika siku yao na kuwapa matumaini walimu wa Tanzania

Karibu Rais Samia Mwanza kuongea na Walimu Disemba 13
Walimu wanashida gani? Watupishe sisi ambao hatuna ajira tukapige kazi wao wakajiajiri kwenye business na kilimo
 
....kujitath(i)imini.....
...kinaazimisha.......
Jitahidi kuwa na kiswahili fasaha.
 
Utakuwa mwali sio bure kwa povu hili[emoji23]
Nikweli,kizazi hiki Cha nyoka ambacho hamuelewi mnachokitaka mtaendelea kuzalau elimu hadi lini? Kisa tu kwenye elimu hakuna kula rushwa,but Kuna watu hata huo uwalimu wanaulilia na hawaupati.kinachonifurahisha zaidi wanaouponda uwalimu hawana hata cheti cha fani yoyote zaidi ya ujanjaujanja tu..Mitala mipya ya elimu mtekelezaji wake anategemewa kuwa mwl,mitihani iliyofan ywa hivi karibuni msahihishaji ni mwl halafu Kuna kimtu kimekaa kwa shemeji yake eti kinazalau walimu.
 
Walimu hawa hawa wauza kura zetu kwa malipo duni toka ccm?

Mnategemea tuwaheshimu?
Anzeni kujipenda na kujiheshimu wenyewe ndipo tuwaheshimu.
 
Back
Top Bottom