Walivyo wajinga wataishia kupewa ahadi hewa na kushangilia pekeeWAWE MAKINI WASIJE WAKASUBIRI KAMA WALIVYOMSUBIRI MWALIMU MWENZAO MWL.MAGUFULI MIAKA ILE
Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Sasa ndg. Mwalimu amu ni nini?Chama cha walimu Tanzania kinaazimisha miaka 30 ya kuanzishwa kwake kwa ajili ya kujitathimini na kutafakari kwa safari yenye milima na mabonde kuanzia November 1993 mpaka Leo 2023 November
Hakika maazimisho hayo mgeni Rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, kwasababu litakua nikusanyiko la walimu wote Tanzania, wanakutana Mwanza
Walimu wana amu ya kukutana na Rais wao ,wana amu ya kumsikia akiongea katika siku yao na kuwapa matumaini walimu wa Tanzania
Karibu Rais Samia Mwanza kuongea na Walimu Disemba 13
Ndio maana wanakuzwa wasomi wajinga wajingaHili ni kusanyiko la watu wajinga sn, badala ya kutumia wingi wenu kwa manufaa mmekuwa kama nyumbu
Kua mwalimu labda niwe mwalimu wa kwaya!
Una ukana ualimu na waalimu wenzio?Kua mwalimu labda niwe mwalimu wa kwaya!
Walivyo wajinga wataishia kupewa ahadi hewa na kushangilia pekee
Mimi ualimu labda wa watoto wangu nyumbaniUna ukana ualimu na waalimu wenzio?
Una watoto wangapi mkuuMimi ualimu labda wa watoto wangu nyumbani
Jomoniiii!Hili ni kusanyiko la watu wajinga sn, badala ya kutumia wingi wenu kwa manufaa mmekuwa kama nyumbu
Samia kawasaidia kumfukuza yule mwizi, na kamfukuza kitaalamu, kilochobaki amuhamishie nanyumbu, na akifika atafutiwe sababu, yaani hajasemaChama cha walimu Tanzania kinaazimisha miaka 30 ya kuanzishwa kwake kwa ajili ya kujitathimini na kutafakari kwa safari yenye milima na mabonde kuanzia November 1993 mpaka Leo 2023 November
Hakika maazimisho hayo mgeni Rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, kwasababu litakua nikusanyiko la walimu wote Tanzania, wanakutana Mwanza
Walimu wana amu ya kukutana na Rais wao ,wana amu ya kumsikia akiongea katika siku yao na kuwapa matumaini walimu wa Tanzania
Karibu Rais Samia Mwanza kuongea na Walimu Disemba 13
MmojaUna watoto wangapi mkuu