Walimu wamsubiri Rais Samia kwa hamu kwenye maadhimisho ya miaka 30 ya CWT Mwanza

Wewe nawe ni mwalimu usiyejua hata kuandika kiswahili kwa ufasaha?
 
Bilashaka Mh Rais pia anaisubiria siku iyo kwa hamu kubwa sana. Hakika patanoga sana Mwanza.
 
Wewe ni msemaji wa Waalimu au ni Mwalimu ?

Kama ni mwalimu I hope sio Mwalimu wa Kiswahili...
 
-Mwalim alistahili posho hizi
Posho ya Nyumba 300,000/- kwa degree, Posho ya Nyumba 200,000/- kwa Diploma na Cheti,
-Posho ya Umeme na Maji 120,000/-
-Posho ya Mavazi 500,000/- kwa Mwaka
-Posho ya Chakula 150,000/-
 
Sio amu ni hamu.
 
Kuna kundi la mafisadi linapambana Rais Samia asije Mwanza ,kuogopa kuumbuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…