Nsumba ntale tz
JF-Expert Member
- Apr 19, 2016
- 713
- 762
wewe ni mpumbavuAcheni umbumbumbu na nyie jamani. Dreamliner ziko hapa kukuza uchumi na siyo starehe. Jaribu kufikiria kama zisingekuwepo sasa hivi ingekuwaje? Maana ndugu zangu Precision weshatepeta na matapeli wetu Fastjet weshakata pumzi kitambo. Kwa videge viwili sijui vitatu vya precision nauli ingeshafika milioni mbili kwenda tu hapa KIA. ATC ni lazima iwepo.
Sent using Jamii Forums mobile app
ushamba mzigo,huyu jamaa anafanya wasukuma waonekane watu wa ajabu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika mkuuHawa wa kutolea uvivu kwenye chaguzi zao tu. Angalau kwa kura za maruhani.
Ningeweza sema huna akili ila ntakuwa nakosea wewe una daiwa kabisa akili maana akili ziko (ve-)Acheni umbumbumbu na nyie jamani. Dreamliner ziko hapa kukuza uchumi na siyo starehe. Jaribu kufikiria kama zisingekuwepo sasa hivi ingekuwaje? Maana ndugu zangu Precision weshatepeta na matapeli wetu Fastjet weshakata pumzi kitambo. Kwa videge viwili sijui vitatu vya precision nauli ingeshafika milioni mbili kwenda tu hapa KIA. ATC ni lazima iwepo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Too sad.Katika pitapita zangu nimekutana na hii video ikionesha wanafunzi walivyorundikana kwenye chumba cha darasa kama ng'ombe tena wakiwa wamekaa chini, na bado tukiendelea kupiga makofi kuhusu ununuaji wa madege ya dreamliner. Kama Taifa tunapaswa kupaza sauti zetu kama wananchi wa Taifa Tanzania maana haya yanatokea hapa hapa nchini.
Acheni umbumbumbu na nyie jamani. Dreamliner ziko hapa kukuza uchumi na siyo starehe. Jaribu kufikiria kama zisingekuwepo sasa hivi ingekuwaje? Maana ndugu zangu Precision weshatepeta na matapeli wetu Fastjet weshakata pumzi kitambo. Kwa videge viwili sijui vitatu vya precision nauli ingeshafika milioni mbili kwenda tu hapa KIA. ATC ni lazima iwepo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni ujinga! Kabla ya hizo ndege hali ilikuwaje?ushamba mzigo,huyu jamaa anafanya wasukuma waonekane watu wa ajabu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kinachomfanya aweze kusema ni hiyo shule iliyorundika wanafunzi... umelewa...? Au unaelewa maana ya priority..?Yaani wewe ni wa ajabu kuliko. ATC mwanza peke yake inasafirisha watu zaidi ya mia 800 kwa siku. Bado Mbeya' Kilimanjaro Dodoma na Kigoma. Ni zaidi ya watu 2000 kwa siku. Unawezaje kusema sio kipaumbele kama siyo ujinga?
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah mkuu humu ndo ndan ya mweweNyie pandeni Kisbo zenu mtuachie Airbus na madilimulaina yetu.View attachment 1331049
Sent using Jamii Forums mobile app