Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siasa tupu na ujinga wa wananchiSiasa za Tanzania ni hovyo sana! Wanaokosoa JPM kununua Ndege, wanaokosoa kujinufaisha Kisiasa. Vile vile JPM na CCM amenunua Ndege ni jambo jema sana, lakini wanataka kujinufaisha Kisiasa.
Unaweza kukuta tatizo si uhaba wa darasa, bali wa waalimu.Walimu wana wakati mgumu! Huyu mwalimu anatakiwa apongezwe kwa jinsi anavyofundisha darasa lilivyojaa namna hiyo. Na wanafunzi wenyewe wanaonyesha wana nidhamu na wanapenda kusoma. Tafadhali mtu anayejua hapo ni wapi atufahamishe tutoe mchango wa kujenga darasa lingine. Nimesikitika sana!
View attachment 1331347
Katika pitapita zangu nimekutana na hii video ikionesha wanafunzi walivyorundikana kwenye chumba cha darasa kama ng'ombe tena wakiwa wamekaa chini, na bado tukiendelea kupiga makofi kuhusu ununuaji wa madege ya dreamliner. Kama Taifa tunapaswa kupaza sauti zetu kama wananchi wa Taifa Tanzania maana haya yanatokea hapa hapa nchini.
Maisha si ndiyo hayaNyie pandeni Kisbo zenu mtuachie Airbus na madilimulaina yetu.View attachment 1331049
Sent using Jamii Forums mobile app
wanafunzi wenyewe wanaonyesha wana nidhamu na wanapenda kusoma.
Hahaha hata wewe unapingana na Rais Magufuli?! Aliyesema zaeni tu serikali itasomesha bure.Acheni kuzaliana hovyo kama Sungura mkitaka maisha bora!
Walimu wana wakati mgumu! Huyu mwalimu anatakiwa apongezwe kwa jinsi anavyofundisha darasa lilivyojaa namna hiyo. Na wanafunzi wenyewe wanaonyesha wana nidhamu na wanapenda kusoma. Tafadhali mtu anayejua hapo ni wapi atufahamishe tutoe mchango wa kujenga darasa lingine. Nimesikitika sana!
View attachment 1331347
Kwamba, hakuna hali hiyo kwenye shule za serikali?huyo Mwalimu ni kama anashangaa hali hiyo utadhani ni mgeni, lakini anaongelea walipoachia somo lililopita.... looks choreographed.... not to mention the moving camera trained on the situation.... and zero effort applied to create space for himself at the bottom of the black board.... apparently he was pausing for a dramatic video shoot!
Money Laundry and Economic Offense charges are in the offing...
Tunasubiri ndege tatu zishuke kwanza...Inasikitisha sana