Tajiri wa Magomeni
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 4,274
- 2,935
wewe ni mpumbavuYaani wewe ni wa ajabu kuliko. ATC mwanza peke yake inasafirisha watu zaidi ya mia 800 kwa siku. Bado Mbeya' Kilimanjaro Dodoma na Kigoma. Ni zaidi ya watu 2000 kwa siku. Unawezaje kusema sio kipaumbele kama siyo ujinga?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app