Walimu wana wakati mgumu! Darasa limejaa wanafunzi zaidi ya mia moja hana hata pa kukanyaga!

Hii ni ile mwalimu anatakiwa kufundisha sayansi la tatu A,B na C mida tofauti, anaamua kuongea na walimu wenzake wamrekebishie ratiba yake aunganishe madarasa yote kwa kipindi kimoja.
 
Umekurupuka mkuu.
 
Kwani mwanzoni ilikuaje acha ushamba na ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ume

umefanya utafiti na kuuliza vyanzo vya hiyo clip na kujua nini kilitokea ktk hiyo clip mpaka wanafunzi hao wakawa humo ndani?
Critical thinking is evasive to you i am afraid...
Kwanini wawe wengi hivyo by anymeans huu ni ujinga na upumbavu
 
Hii siyo ya awamu hii,acha uchochezi
 
Suala la elimu lazima lipewe kipaumbele kuliko kitu chochote.
 
Usafiri wa ndege umekuwa aghali zaidi baada ya fast jet kuondoka. air tanzania imeleta balaa kwa wasafiri.
 
Ndio walewale mnaokamata watu wakifichua mambo yalivyo huko kwenye jamii.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndo mbumbumbu mkubwa kuwahi kutokea, serikali huwa haifanyi Biashara, kazi yake ni kukusanya kodi, Fastjet ilikuwa na ndege nyingi na nauli ilikuwa ndo to make everyone afford the price

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii itawa cost,mbaya zaidi mpiga picha hakuwaza kabisa kuhusu hii tshirt ya chalii...View attachment 1331423View attachment 1331424
Lwezera shule ya msingi, naijua vizuri sana hii shule. Pale hakuna uhaba wa vyumba vya madarasa kwa kiwango hiki mpaka wanafunzi wajae hivi.
Huenda huyu mwalimu aliunganisha mikondo yote akawaweka kwenye darasa moja ili ionekane kuna shida kubwa kiasi hiki.
 
Maigizo mengine ni ya kujitafuia matatizo na serikali. Hivi hili ni darasa la ngapi lenye watoto wa rika tofauti? Yani kila mtoto anataka aangalie kamera kama imemchukua na mwalimu mwenyewe anajisahau anaan
 
Maigizo mengine ni ya kujitafutia matatizo na serikali. Hivi hili ni darasa la ngapi lenye watoto wa rika tofauti? Kuna rika kuanzia std 1 mpaka 7, yaani kila mtoto anataka aangalie kamera kama imemchukua na mwalimu mwenyewe anajisahau anaangalia kamera.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…