Walimu wanawekwa ndani, wanadhalilishwa sababu ya ujenzi wa madarasa wakati si wakandarasi wala mafundi ujenzi. Nini maoni ya CWT kama chama?

Yaan hii kazi hawajatafakari wangejua kuwa ujenzi wa hizo shule unafanywa chini kabisa ya kiwango sababu ya hizi pressure yaan ndani ya mwezi mmoja majengo yakamilike na viti vya chuma,

Yaan ndani ya mwezi viti na meza havita tamanika maana vinaungwa kienyeji sanabbila kuzingatia ubora kabisa
 
Ni kweli kwabisa yaan walimu wanataabika sana na ujenz utadhani ndiyo fani yao hadi wanawekwa ndani maskini eti kisa tofali sijii ratio imefanyaje kitu ambacho ni cha kitaalamu kinahitaji uzoefu.
 
Unajijua sio mkandarasi, ulikubali majukumu ya nini?

Every action you take has its consequences!
 
Unajijua sio mkandarasi, ulikubali majukumu ya nini?

Every action you take has its consequences!
Ndio maana utaonekana kituko kwa sababu unaongea kitu ambacho hata hukijui hebu uliza kwanza kwanini walimu wameingizwa kwenye ujenz ukisha elewa urud hapa huenda utakuwa na mawazo mapya
 
Titaelewana tu, acha tuende mdogomdogo.
 
Titawlewana tu, acha tuende mdogomdogo.Kwani tinatafuta ya Goba.
 
Hakuna chama hapo. Viongozi wengi wa vyama vya kitaaluma hivi hawako independent hawako aggressive wanawaza siasa na teuzi tu. Yaani CWT unaweza ukaipa virefu vingi sana kwa undumilakuwili wao

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Uendeshaji wa Shule umewekewa sheria na kanuni. Hakika inashangaza kuona kukithiri kwa uvunjwaji wa sheria hizo kunakofanywa na watu ambao hawajatajwa kisheria katika usimamizi wa elimu.
Kuna kamati/Bodi za shule, Kuna idara za elimu na ukaguzi wa Shule. Kwa hali ya sasa naona Kuna haja ya kupitia upya sheria na kanuni za Uendeshaji wa Shule zetu. Kwa hakika mfumo wetu wa elimu umeparaganyika.
Mbaya zaidi, siasa zimeingia mashuleni, Shule zimekuwa sehemu za wateule na wanasiasa kutafutia umaarufu. Inasikitisha. Na mbaya zaidi, hao wanasiasa wenyewe waliowengi Shule zilikuwa shidi kwao na failures.
Wizara tafadharini, pitieni muundo wa usimamizi wa Shule na elimu kwa ujumla.
 
Nina kijiwe Cha welding,walikuja walimu kunipa kazi ya dawati 120 niifanye kwa siku 3 nime kataa,ni kitu kisicho wezekana.
Walimu ni wa kuombewa kwa kweli wanapitia magumu sana. Wao ni watu wa kutishwa muda wote,kudhalilishwa na kudhiakiwa. Kada hiyo pamoja na upolisi sio kazi za kufanya kabisa ni utumwa.
 
Ameenda kufanya ile kazi kama mwalimu au kama kada? Unatumia nini kufikiria broo?
Una umri gani
Elimu gani
Unaishi mjini? Ulishawahi ishi ma kufanya kazi kijijini?
Ulishawahi simamia Kura popote?
 
Una umri gani
Elimu gani
Unaishi mjini? Ulishawahi ishi ma kufanya kazi kijijini?
Ulishawahi simamia Kura popote?

[emoji16][emoji16] inaonekana haupo tayari kuelewa, ila umejiandaa kunijibu....maisha yangu yatakusaidia nini sasa? Just relax, jibu hoja acheni hizi mambo, you guys sound childish linapokuja suala la uchaguzi, mnaona Walimu ni kama punching bags, BTW; ntakuletea link inahusu hii case
 
Wakati wa uchaguzi mlisaidia sana kuweka kura 10 kumi kwenye masanduku.

Mnavuna mlichopanda
Haaha..umepiga kwenye mshono..
Umesema kweli hawa walimu ni viazi kabisa.

Ndio wanaiweka serikalini kwa sh.50,000 kwa kuongeza kura 10 kwenye sanduku la kupigia kula
Hii niliishuhudia mm mwenyewe😂😂😂

Ukweli tu walimu hawajielewi ndio maana hao wanasiasa wanawafanya vipitishio kama sio madaraja
 
Nina marafiki zangu walimu waliniambia bila kuficha. Wengine walipewa vifurushi kabisa vyenyr kura za Jiwe na mazuzu yake.

Jiwe amevuna alichopanda
 
Bila katiba Bora Mpya haya yote ni ndoto kuyafikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…