Walimu wanawekwa ndani, wanadhalilishwa sababu ya ujenzi wa madarasa wakati si wakandarasi wala mafundi ujenzi. Nini maoni ya CWT kama chama?

Walimu wanawekwa ndani, wanadhalilishwa sababu ya ujenzi wa madarasa wakati si wakandarasi wala mafundi ujenzi. Nini maoni ya CWT kama chama?

Basi kama walimu ndo wanafundisha mainjinia.

Naomba upite hapo shule ya msingi Miembeni kuna mwalimu Madudu mwambie akufanyie oparesheni ya ubongošŸ˜Ž
Nadhani wewe ni mwalimu uliyekula pesa za umma, na kama sio.basi ni wale mliokosa tenda sasa mnasingizia walimu ili mpewe nyie hizo kazi
 
Back
Top Bottom