Walimu wanawekwa ndani, wanadhalilishwa sababu ya ujenzi wa madarasa wakati si wakandarasi wala mafundi ujenzi. Nini maoni ya CWT kama chama?

Basi kama walimu ndo wanafundisha mainjinia.

Naomba upite hapo shule ya msingi Miembeni kuna mwalimu Madudu mwambie akufanyie oparesheni ya ubongo😎
Nadhani wewe ni mwalimu uliyekula pesa za umma, na kama sio.basi ni wale mliokosa tenda sasa mnasingizia walimu ili mpewe nyie hizo kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…