captain 21
JF-Expert Member
- Mar 27, 2021
- 585
- 1,185
Afadhari maana watu wapo tu na GPA zao mitaani.Serikali imesema walimu wapya 6000 wa shule za msingi na sekondari wataajiriwa ifikapo mwezi juni, mwaka huu ili kuziba nafasi zilizoachwa wazi na walimu waliofariki au kustaafu kazi...
Ni kweli ila idadi ni chache sana...6000?Sawa watu waanze kufanya application hiyo June wakaripot
We unajuaje kama bad