Walimu wapya 6000 kuajiriwa ifikapo Juni, kuanza na waliojitolea kwanza

Walimu wapya 6000 kuajiriwa ifikapo Juni, kuanza na waliojitolea kwanza

Pengine hawamuheshimu wanamchukulia poa kisiasa.. Alitakiwa avunje kila kitu aanze upya angepata heshima sana ila kabeba uozo mtupu... Raia walichokuwa wanasikitika ndio kawaacha hivyo hivyo bila matumaini so imekuwa business as usual CCM ni ile ile
 
Hapo nimesoma Hon Silinde huyu ndio yule wa ZEutamu kawa Mweshimiwa enh! Mabwaku
 
Pengine hawamuheshimu wanamchukulia poa kisiasa.. Alitakiwa avunje kila kitu aanze upya angepata heshima sana ila kabeba uozo mtupu... Raia walichokuwa wanasikitika ndio kawaacha hivyo hivyo bila matumaini so imekuwa business as usual CCM ni ile ile
Mimi naisi hawamuheshimu huyu mama angetolea mfano kwa kibajaji na msukuma
Pengine hawamuheshimu wanamchukulia poa kisiasa.. Alitakiwa avunje kila kitu aanze upya angepata heshima sana ila kabeba uozo mtupu... Raia walichokuwa wanasikitika ndio kawaacha hivyo hivyo bila matumaini so imekuwa business as usual CCM ni ile ile
 
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu aliiagiza TAMISEMI kufanya haraka kuajiri walimu wa shule za msingi na sekondari wasiopungua 6000 ili kuziba mapengo yaliyoachwa na wastaafu, waliofariki na waliocha kazi.

Kwa misisitizo rais alitoa agizo hilo aliamrisha litekelezwe haraka sana, mpaka leo ni zaidi ya wiki tatu TAMISEMI imekaa kimya.

Hi TAMISEMI ya Ummy Mwalimu imepuuza agizo la rais?

Waziri mkuu anafanya nini huku amri za rais zinatolewa na hazitekelezwi?

Je, Ummy anasubiri mama amkumbushe tena?

Huenda viatu vya Tamisemi Ummy havimtoshi, hapa naanza kumkumbuka Jafo sasa.
 
Ajira za Seeikali utolewa baada ya bajeti(mishahara) kupangwa na kutengewa fungu.Huakika wa ajira zote mpya za watumishi wa Serikali zitatangazwa kuanzia July 1st, Mwaka mpya wa Kifedha wa Serikali unapoanza,so tutegemee hizi kazi kuanzia August 2021 na kuendelea. Uwezi ajiriwa Serikalini kama Fungu la Mshahara alijatengwa!! Ndo maana kwa mfano wale Vijana wa JKT.

Marehem Rais Maghufuli alitamka wapewe ajira na Jeshi lakini kukawa na ucheleweshaji wa kuwa ajiri ata kama kweli majeshi yanahitaji askari wapya, awawezi kuwa ajiri kwani bajeti ya 2019-2020 aikuwa na fungu la mishahara na pesa za maandalizi ya kuwaajiri askari wapya. Hivyo hii ipo kwa Ajira zote za Serikali duniani pote na sio Tanzania peke yake.

Tuvute subira July 2021 sio mbali😁
 
Huyu mama mwenye Wizara ni Mkuda sana kama wakuda wengine tu.Hz ajira hazihitaji bajeti wala nini, mama wetu kasema waalimu waajiriwe haraka sana ili mwezi wa 7 shule zikifunguliwa waanze kazi, sasa sijui wanadelay kwa lipi?
T
 
Hotuba ya Rais Jana sina uhakika kama hata kagusia kuhusu hiyo/hizo ajira kwa kipindi kijacho na sasa, hivyo mnao tegemea ajira za serikali muendelee kumuomba Mungu sanaaaaa kuliko kawaida.
 
Usisubiri ajira za kitumwa hizo njoo huku uone wanaume wanavotoboa maishaa.
 
Huyu mama mwenye Wizara ni Mkuda sana kama wakuda wengine tu.Hz ajira hazihitaji bajeti wala nini, mama wetu kasema waalimu waajiriwe haraka sana ili mwezi wa 7 shule zikifunguliwa waanze kazi, sasa sijui wanadelay kwa lipi?
T
hela yao ya mishahara,ataitoa kwenye fungu lipi pale Wizarani??
 
Ndugu Habarini,

Samahani naomba Kuuliza Nafasi za Ualimu Serikali Walizozitangaza Pamoja na Nyinginezo Zitatoka Lini?

Hasa Kwenye Ualimu, Naombeni Msaada Kwa anayelijua Hili.

Asanteni
 
Back
Top Bottom