ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Mimi naisi hawamuheshimu huyu mama angetolea mfano kwa kibajaji na msukumaPengine hawamuheshimu wanamchukulia poa kisiasa.. Alitakiwa avunje kila kitu aanze upya angepata heshima sana ila kabeba uozo mtupu... Raia walichokuwa wanasikitika ndio kawaacha hivyo hivyo bila matumaini so imekuwa business as usual CCM ni ile ile
Pengine hawamuheshimu wanamchukulia poa kisiasa.. Alitakiwa avunje kila kitu aanze upya angepata heshima sana ila kabeba uozo mtupu... Raia walichokuwa wanasikitika ndio kawaacha hivyo hivyo bila matumaini so imekuwa business as usual CCM ni ile ile
Mzee typing error mkuuNa wewe ni mwl mtarajiwa? Kwa uandishi huu, kazi ipo
Acha utoto tunaongelea maisha ya watu hapa hzo mada peleka kwenye jukwaaa watoto wenzakoDiamond ni mkubwa kimuziki, lakini harmonize ni mkubwa ki Bollo
hela yao ya mishahara,ataitoa kwenye fungu lipi pale Wizarani??Huyu mama mwenye Wizara ni Mkuda sana kama wakuda wengine tu.Hz ajira hazihitaji bajeti wala nini, mama wetu kasema waalimu waajiriwe haraka sana ili mwezi wa 7 shule zikifunguliwa waanze kazi, sasa sijui wanadelay kwa lipi?
T