Walimu wapya 6000 kuajiriwa ifikapo Juni, kuanza na waliojitolea kwanza

Bado subiri kati ya mwezi huu mpaka 7. Muhimu nahisi wanasubiria budget
 
Ndugu Habarini,

Samahani naomba Kuuliza Nafasi za Ualimu Serikali Walizozitangaza Pamoja na Nyinginezo Zitatoka Lini?

Hasa Kwenye Ualimu, Naombeni Msaada Kwa anayelijua Hili.

Asanteni
Inasemekana mda wowote litatoka tangazo
 
....Dekompose....nimekumbuka mbali sana
 
zishajaaa na watu wanakaribia kwenda kazini,wewe bado upo mtaani mkuu?

njooo tusaidiane kubeba hii migunia ya vitunguu huku tujue kimoja,upande huo ushakukataaa
[emoji23][emoji23][emoji23].Uwezekano wa Kazi ni lini Ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…