Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
Acha kupotosha ummaMimi ni mwalimu, muda sana wadau wanasema humu "PSRS Usiposoma hutoboi" niliichukua hiyo kama changamoto. Masomo yote nimeenda oral. Maswali ya oral nimejibu vema, swali la presentation niliandaa lesson plan na lesson notes. Hivo nasubiri maamuzi. Waalimu wenzangu wakubali, mchakato ni fair kabisa.
Acha upotoshaji.Wamefeli interview wanakuja kulialia pumbavu zao mbona kada zingine wanalimwa NOT SELECTED na hawalalamiki
Nafasi za ajira za sasa ni za ushindani wakaze kwelikweli
Acha upotoshaji.
Kuipata hiyo passport ni kama kupambana na M23Watoke nje ya Tanzania, waende Botswana au hata nyingine soko la ajira ni kubwa Sana kwa upande wa walimu.
Ukifika vyuo vya kati vya afya utashangaa co wa mwaka wa kwanza anaitwa doctorWa Kozi za Ualimu.
Kama Muhitimu wa Urubani nae aanze kujiita Rubani.
Hz kelele zitasaidia kutangazwa ajira zingine chapu kabla ya uchaguzi ili kuwatulizaHawa vijana wakifanya mobilization vizuri na kwa akili serikali itawapigia magoti. Tatizo hiyo movement yao ni ya wachache huko wenzao wakiwa busy kubeti na kushangilia Simba na Yanga na usaliti wa Simba kwa Zuchu
Kwaiyo walichokisema hujakielewa?...Ama huna bando hukufanikiwa kuwasikiliza mwanzo mwisho mwisho kijana?Waseme ukweli nini hawataki na sio kuzunguka mbuyu …
Enzi za JK shule nyingi za kata zilianzishwa na zilihitaji walimu wa kutosha. Kadri miaka ilivyokwenda ziliendelea kupata walimu na sasa shule zote kuna walimu. Ingawa nakiri kwamba walimu hawatoshi huko mashuleni lakini hali sio kama ilivyokuwa wakati shule za kata zinaanzishwa. Hivyo kuna tofauti kubwa ya uhitaji wa walimu enzi za JK na awamu zilizofuata.Mkuu mbona kwenye awamu ya 4 ya Jk waiting wa Ualimu walikua wanapata ajira moja kwa moja na wengi wao walikua hawataki kulipoti vituoni, Shida nini imepelekea ajira za walimu kua ngumu kuanzia awamu ya 5 mpaka sasa kwenye awamu hii?
Mimi nilichosikia wanataka ajira bila ushindani , wanataka vya kunyongaKwaiyo walichokisema hujakielewa?...Ama huna bando hukufanikiwa kuwasikiliza mwanzo mwisho mwisho kijana?
Akili yako ni ndogo sanaMimi nilichosikia wanataka ajira bila ushindani , wanataka vya kunyonga
Wanafunzi wanahitaji walimu bora sio wa kuokotaokotaAkili yako ni ndogo sana
Kibaoni ya wapi kwa pinda mpimbwe hukoMimi ni mkulima niko zangu huku kibaoni nalima mahindi maisha yanasonga