DOKEZO Walimu Wasio na Ajira (NETO) wanaongea na waandishi wa habari kuondoa dukuduku lao

DOKEZO Walimu Wasio na Ajira (NETO) wanaongea na waandishi wa habari kuondoa dukuduku lao

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mimi ni mwalimu, muda sana wadau wanasema humu "PSRS Usiposoma hutoboi" niliichukua hiyo kama changamoto. Masomo yote nimeenda oral. Maswali ya oral nimejibu vema, swali la presentation niliandaa lesson plan na lesson notes. Hivo nasubiri maamuzi. Waalimu wenzangu wakubali, mchakato ni fair kabisa.
Acha kupotosha umma
 
Hawa vijana wakifanya mobilization vizuri na kwa akili serikali itawapigia magoti. Tatizo hiyo movement yao ni ya wachache huko wenzao wakiwa busy kubeti na kushangilia Simba na Yanga na usaliti wa Simba kwa Zuchu
 
Hawa vijana wakifanya mobilization vizuri na kwa akili serikali itawapigia magoti. Tatizo hiyo movement yao ni ya wachache huko wenzao wakiwa busy kubeti na kushangilia Simba na Yanga na usaliti wa Simba kwa Zuchu
Hz kelele zitasaidia kutangazwa ajira zingine chapu kabla ya uchaguzi ili kuwatuliza
 
Mkuu mbona kwenye awamu ya 4 ya Jk waiting wa Ualimu walikua wanapata ajira moja kwa moja na wengi wao walikua hawataki kulipoti vituoni, Shida nini imepelekea ajira za walimu kua ngumu kuanzia awamu ya 5 mpaka sasa kwenye awamu hii?
Enzi za JK shule nyingi za kata zilianzishwa na zilihitaji walimu wa kutosha. Kadri miaka ilivyokwenda ziliendelea kupata walimu na sasa shule zote kuna walimu. Ingawa nakiri kwamba walimu hawatoshi huko mashuleni lakini hali sio kama ilivyokuwa wakati shule za kata zinaanzishwa. Hivyo kuna tofauti kubwa ya uhitaji wa walimu enzi za JK na awamu zilizofuata.
 
Mwalimu wa geo unampima kwa maswali ya ep au ct kwani anaenda kufundishia wanafunzi hayo? Na hiyo pepa hata dakika 40 hazikufika ndo maana walikataza saa, na Kuna walimu kibao wanajitolea miaka mingi huko mashuleni ila ni not selected
 
Wapuuzi hawa, wao wasifanyiwe usaili kwanini?
Kada zote kwa sasa, usaili ni lazima, many years ago, ndiyo usaili haukuwepo.
Wanajiona wao wanastahili sana kuliko wengine.
 
Back
Top Bottom