DOKEZO Walimu Wasio na Ajira (NETO) wanaongea na waandishi wa habari kuondoa dukuduku lao

DOKEZO Walimu Wasio na Ajira (NETO) wanaongea na waandishi wa habari kuondoa dukuduku lao

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mkuu mbona kwenye awamu ya 4 ya Jk waiting wa Ualimu walikua wanapata ajira moja kwa moja na wengi wao walikua hawataki kulipoti vituoni, Shida nini imepelekea ajira za walimu kua ngumu kuanzia awamu ya 5 mpaka sasa kwenye awamu hii?
Hata kama watahitajika wengi mfumo wa usaili hautabadilika hao wanalalamikia usaili sio ajira
 
Leo tena nimewasikiliza (NETO), Umoja wa Walimu Wasio na ajira nchini kama mzazi pia nimepata uchungu mwingi sana na kauli za Mkenda haikupaswa awepo ofisini hata dakika tano mbele!

CCM inatafuta laana ya vijana hawa! Hii ni fimbo kubwa na ni utelezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan! Waalimu wanadharaulika sana! Mkenda jiuzulu hii Wizara imekushinda lakini kwa kuwa aliyakuajiri ni kibri tutakutana on ballot !!
 
Hawa sasa ndio wanaharakati sio sie ma keyboard worrior wa humu JF...

Waraka wao hakika umeshiba vilivyo na wale wenye AKILI ndio watakubliana na hilo.

Hongera sana kwao.
Amini amini nakwambia, hawa watapewa ulaji na wenzao watabaki wasindikizaji. vyama vya afrika hasa tanzania ndivyo vilivyo. Wewe anzisha chama uwambie watu mnapigania kitu fulani baada ya hapo serikali itakuona na chama tawala kitaona wewe una watu wa kuwapigia kura itakupa ulaji uwashawishi wenzako wakipe kura.
 
Leo Tena nimewasikiliza (Neto )umoja wa waalimu wasio na ajira nchini kama mzazi pia nimepata uchungu mwingi sana na kauli za mkenda haikupaswa awepo ofisini hata dakika tano mbele ! Ccm inatafuta laana ya vijana Hawa ! Hii ni fimbo kubwa na ni utelezi kwa rais samia suluhu Hassan !waalimu wanadharaulika sana ! Mkenda jiuzuru hii wizara imekushinda lakini kwa kuwa aliyakuajiri ni kibri tutakutana on ballot !!
Yule mrombo ni very arrogant, ana egoism, anajiona anajua kila kitu, ameharibu elimu kuanzia mitaala. Ananyanyasa walimu anavyojisika ndio maana analalamikia protokali ya ikulu. Halafu kwanini watu wasiseme huu ni Rais wa kuambiwa.
 
Haka kautaratibu kainterview kuna watu kamewafaidisha sana wanataman kila mwaka kawepo watu wanakadiriwa kukunja mil 10+ kila mmoja baada ya zoezi nzima kukamilika
 
Leo Tena nimewasikiliza (Neto )umoja wa waalimu wasio na ajira nchini kama mzazi pia nimepata uchungu mwingi sana na kauli za mkenda haikupaswa awepo ofisini hata dakika tano mbele ! Ccm inatafuta laana ya vijana Hawa ! Hii ni fimbo kubwa na ni utelezi kwa rais samia suluhu Hassan !waalimu wanadharaulika sana ! Mkenda jiuzuru hii wizara imekushinda lakini kwa kuwa aliyakuajiri ni kibri tutakutana on ballot !!
Kikwete Mungu ampe maisha marefu alikuwa anachukua majina vyuoni kulikuwa hakuna hata usumbufu wa kuomba. Jakaya ni kiongozi halisi, huyu mama anaburuzwa na wanaume na iko siku watamtukana hadharani.
 
Haka kautaratibu kainterview kuna watu kamewafaidisha sana wanataman kila mwaka kawepo watu wanakadiriwa kukunja mil 10+ kila mmoja baada ya zoezi nzima kukamilika
Yaani inashangaza!Halafu utadhani hao waliofaulu sio walimu.Mbona nao ni waalimu tofauti ni kwamba hawa wamefaulu hawa wamefeli.Idadi ya walimu ni kubwa kuliko nafasi:sasa serikali ichuje vipi bila usaili?Dua la kuku halimpati mwewe Mkenda hana kosa lolote laana isiyo na sababu haimpati mtu
 
Walalamikue ajira kuwa kidogo lakini ishu ya interview ni muhimu saana.huyu waziri apongezwe.walimu ,wauguzi na madaktari ni majangaa.unakuta hawajuhi kitu.unakuta nesi hajuhi ata kudunga sindano.Wanatakiwa kufanya mitihani 3 tupunguze vilaza.
 
Inaonekana mleta mada una hasira tu.
Suala la kufanyiwa usahili waalimu ni suala la sekretarieti ya ajira (UTUMISHI), liko nje ya wizara ya elimu na waziri husika.
Mkenda kama waziri ni mtekelezaji tu wa mfumo wa utumishi.
Mkenda hatoi nafasi za ajira, asahili na wala haajiri.
Waalimu muwe wapole tu, mbadilike sasa, mlizoea vya kunyonga, sasa tupo kwenye kuchinja.
 
Hao NETO ndo professional rubbish. Waache siasa za kipumbavu. Wahasibu, wahandisi na kada zingine mbona hawalii hovyo? Ualimu sio special profession kiasi kwamba kusiwe na interview. Kubalini kuwa mko wengi kuliko mahitaji. Pia Mkenda hahusiki na ajira.
 
Leo Tena nimewasikiliza (Neto )umoja wa waalimu wasio na ajira nchini kama mzazi pia nimepata uchungu mwingi sana na kauli za mkenda haikupaswa awepo ofisini hata dakika tano mbele ! Ccm inatafuta laana ya vijana Hawa ! Hii ni fimbo kubwa na ni utelezi kwa rais samia suluhu Hassan !waalimu wanadharaulika sana ! Mkenda jiuzuru hii wizara imekushinda lakini kwa kuwa aliyakuajiri ni kibri tutakutana on ballot !!
Mkenda hatoi ajira. Wanaotoa ajira ni serikali ya CCM halafu Mkenda anasimamia maagizo kutoka kwao.
 
Back
Top Bottom