James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
Na mwamnyeto akiifubaza YangaHuku NYETO ikifubaza uelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mwamnyeto akiifubaza YangaHuku NYETO ikifubaza uelewa
Kwahiyo anataka kuwaiga bila kufikiria factors za nchi yakeKwamba Ghana inawafanyia interview walimu
🤣🙌🙌Huku NYETO ikifubaza uelewa
Anapenda mifano ya Ghana 😃Jamaa wanataka waipelekee moto serikali ili mwaka huu itoe ajira za kutosha
Whatsapp kumbe ni lidude hatar sana,vijana wamejiunganisha huko utazan wanaishi kijijin kimoja,na wameshaandika mpaka mabarua na kuyatuma kwa wakubwa huko
Mkenda vijana hawakuelewi na mifano yako ya Ghana
Hata kama watahitajika wengi mfumo wa usaili hautabadilika hao wanalalamikia usaili sio ajiraMkuu mbona kwenye awamu ya 4 ya Jk waiting wa Ualimu walikua wanapata ajira moja kwa moja na wengi wao walikua hawataki kulipoti vituoni, Shida nini imepelekea ajira za walimu kua ngumu kuanzia awamu ya 5 mpaka sasa kwenye awamu hii?
Amini amini nakwambia, hawa watapewa ulaji na wenzao watabaki wasindikizaji. vyama vya afrika hasa tanzania ndivyo vilivyo. Wewe anzisha chama uwambie watu mnapigania kitu fulani baada ya hapo serikali itakuona na chama tawala kitaona wewe una watu wa kuwapigia kura itakupa ulaji uwashawishi wenzako wakipe kura.Hawa sasa ndio wanaharakati sio sie ma keyboard worrior wa humu JF...
Waraka wao hakika umeshiba vilivyo na wale wenye AKILI ndio watakubliana na hilo.
Hongera sana kwao.
Yule mrombo ni very arrogant, ana egoism, anajiona anajua kila kitu, ameharibu elimu kuanzia mitaala. Ananyanyasa walimu anavyojisika ndio maana analalamikia protokali ya ikulu. Halafu kwanini watu wasiseme huu ni Rais wa kuambiwa.Leo Tena nimewasikiliza (Neto )umoja wa waalimu wasio na ajira nchini kama mzazi pia nimepata uchungu mwingi sana na kauli za mkenda haikupaswa awepo ofisini hata dakika tano mbele ! Ccm inatafuta laana ya vijana Hawa ! Hii ni fimbo kubwa na ni utelezi kwa rais samia suluhu Hassan !waalimu wanadharaulika sana ! Mkenda jiuzuru hii wizara imekushinda lakini kwa kuwa aliyakuajiri ni kibri tutakutana on ballot !!
Kikwete Mungu ampe maisha marefu alikuwa anachukua majina vyuoni kulikuwa hakuna hata usumbufu wa kuomba. Jakaya ni kiongozi halisi, huyu mama anaburuzwa na wanaume na iko siku watamtukana hadharani.Leo Tena nimewasikiliza (Neto )umoja wa waalimu wasio na ajira nchini kama mzazi pia nimepata uchungu mwingi sana na kauli za mkenda haikupaswa awepo ofisini hata dakika tano mbele ! Ccm inatafuta laana ya vijana Hawa ! Hii ni fimbo kubwa na ni utelezi kwa rais samia suluhu Hassan !waalimu wanadharaulika sana ! Mkenda jiuzuru hii wizara imekushinda lakini kwa kuwa aliyakuajiri ni kibri tutakutana on ballot !!
Yaani inashangaza!Halafu utadhani hao waliofaulu sio walimu.Mbona nao ni waalimu tofauti ni kwamba hawa wamefaulu hawa wamefeli.Idadi ya walimu ni kubwa kuliko nafasi:sasa serikali ichuje vipi bila usaili?Dua la kuku halimpati mwewe Mkenda hana kosa lolote laana isiyo na sababu haimpati mtuHaka kautaratibu kainterview kuna watu kamewafaidisha sana wanataman kila mwaka kawepo watu wanakadiriwa kukunja mil 10+ kila mmoja baada ya zoezi nzima kukamilika
Mkenda hatoi ajira. Wanaotoa ajira ni serikali ya CCM halafu Mkenda anasimamia maagizo kutoka kwao.Leo Tena nimewasikiliza (Neto )umoja wa waalimu wasio na ajira nchini kama mzazi pia nimepata uchungu mwingi sana na kauli za mkenda haikupaswa awepo ofisini hata dakika tano mbele ! Ccm inatafuta laana ya vijana Hawa ! Hii ni fimbo kubwa na ni utelezi kwa rais samia suluhu Hassan !waalimu wanadharaulika sana ! Mkenda jiuzuru hii wizara imekushinda lakini kwa kuwa aliyakuajiri ni kibri tutakutana on ballot !!