mjerumaniwapahi
JF-Expert Member
- Sep 4, 2014
- 379
- 271
Wewe kinachokuwasha ni Nini?Hicho kikundi kisambaratishwe kabisa. Haki iliyopo ni ya elimu ila kuajiriwa ni juhudi na bahati. Hicho kikundi ni cha kihuni hakipaswi kuchekewa. Wahandisi, wahasibu, madaktari, maafisa misitu na wataalamu wengine hawana vikundi vya kihuni ila waalimu wachache wanadhani wao wana haki zaidi kiasi cha kuanzisha kikundi haramu. Jeshi la polisi na vyombo vingine vya dola viwapelekee moto wa kutosha.
Kuna Cha kwako walichokiharibu?
Au katika hoja zao Kuna mahali wameilazimisha serikali iwape ajira?
Kama wewe ni mkulima, ni umejiajiri, au umeajiriwa endelea na harakati zako
Waache wengine waendelee na harakati zao kulingana na wanavyoamini wao