DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Yes they deserve thatWanajipambania kvp wakati wanataka kuajiriwa, kujipambania ni kutokutegemea msaada wa mwngn
Yes they deserve thatWanajipambania kvp wakati wanataka kuajiriwa, kujipambania ni kutokutegemea msaada wa mwngn
Kwann wafungwe ?Mfungwe kabisa.
Kila msomi akidai haki yake ya kuajiriwa kwa namna hiyo tutafika wapi?
Wenzenu wa kada zingine walishazoea kupigania ajira kwa survive for fittest, nyie bado mnataka ajira za mafungu.
Shame
Na sisi wa kada zingine pia tuandamane, au unasemaje mkuuYes they deserve that
Mbwa wewe, kasome kitu kinaitwa the rise of working class in Europe na uende kwenye kitu kinaitwa NEW Model Trade Unionism. Nguchiro mkubwa weweHicho kikundi kisambaratishwe kabisa. Haki iliyopo ni ya elimu ila kuajiriwa ni juhudi na bahati. Hicho kikundi ni cha kihuni hakipaswi kuchekewa. Wahandisi, wahasibu, madaktari, maafisa misitu na wataalamu wengine hawana vikundi vya kihuni ila waalimu wachache wanadhani wao wana haki zaidi kiasi cha kuanzisha kikundi haramu. Jeshi la polisi na vyombo vingine vya dola viwapelekee moto wa kutosha.
Mambo hayaendi hivyo unavyodhani.. amka usingiziniWewe kinachokuwasha ni Nini?
Kuna Cha kwako walichokiharibu?
Au katika hoja zao Kuna mahali wameilazimisha serikali iwape ajira?
Kama wewe ni mkulima, ni umejiajiri, au umeajiriwa endelea na harakati zako
Waache wengine waendelee na harakati zao kulingana na wanavyoamini wao
Nguchiro ni mamakoMbwa wewe, kasome kitu kinaitwa the rise of working class in Europe na uende kwenye kitu kinaitwa NEW Model Trade Unionism. Nguchiro mkubwa wewe
Unaishi ndani au nje?Na sisi wa kada zingine pia tuandamane, au unasemaje mkuu
Polisi wa hii nchi wanaweza kumgeuza mtu akawa kama yule Shujaa Hamza ndani ya muda mfupi sana.
Ahsante kwa ufafanuzi!Press conference haihitaji usajili mkuu
NdaniUnaishi ndani au nje?
Basi hauwezi kujua yanayoendelea njeNdani
Haya nipo njeBasi hauwezi kujua yanayoendelea nje
Kwahiyo upo nje na ndaniHaya nipo nje
Ndio mkuuKwahiyo upo nje na ndani
NATO ndo wanawatengeza nyie kada zote kwahiyo NATO hawawezi kuchukuliwa kawaidaNdio mkuu