mjerumaniwapahi
JF-Expert Member
- Sep 4, 2014
- 379
- 271
Wewe kinachokuwasha ni Nini?Hicho kikundi kisambaratishwe kabisa. Haki iliyopo ni ya elimu ila kuajiriwa ni juhudi na bahati. Hicho kikundi ni cha kihuni hakipaswi kuchekewa. Wahandisi, wahasibu, madaktari, maafisa misitu na wataalamu wengine hawana vikundi vya kihuni ila waalimu wachache wanadhani wao wana haki zaidi kiasi cha kuanzisha kikundi haramu. Jeshi la polisi na vyombo vingine vya dola viwapelekee moto wa kutosha.
Kwakuwa una uhakkika wa ugali wakoHicho kikundi cha kihuni... kisambaratishwe fasta.
THIS POEM IS DEDICATED TO ALL TEACHERS
I AM A TEACHER...✍️
I May be a School Teacher,
I May be a College Lecturer,
I May be a University Professor !
Behind That Doctor,
It is Me, a Teacher.
Behind That Engineer,
It is Me, a Teacher.
Behind That Statistician,
It is Me, a Teacher.
Behind That Nuclear Physicist,
It is Me, a Teacher.
Behind That Mathematician,
It is Me, a Teacher.
Behind That Scientist,
It is Me, a Teacher.
Behind That Zoologist,
It is Me, a Teacher.
Behind That Entomologist,
It is Me, a Teacher.
Behind That Botanist,
It is Me, a Teacher.
Behind That Economist,
It is Me, a Teacher.
Behind That Entrepreneur,
It is Me, a Teacher.
Behind That Lawyer,
It is Me, a Teacher.
Behind That Political Scientist,
It is Me, a Teacher.
Behind That Psychologist,
It is Me, a Teacher.
Behind That Architect,
It is Me, a Teacher.
Behind That Astrologer,
It is Me, a Teacher.
BONGE LYRICS
Salama kivipi wakati references zinaonesha wengi wao hutoka lupango wakiwa wanachechemea,vilema,with mental illness au wamebebwa juujuu kama wafalme lakini hawana uhai?uzuri yuko mikono salama ya jeshi la polisi
Kikundi cha kihuni ni wew na mbwa wanaowatuma. AMA ZENU AMA ZETU HUU MWAKAHicho kikundi kisambaratishwe kabisa. Haki iliyopo ni ya elimu ila kuajiriwa ni juhudi na bahati. Hicho kikundi ni cha kihuni hakipaswi kuchekewa. Wahandisi, wahasibu, madaktari, maafisa misitu na wataalamu wengine hawana vikundi vya kihuni ila waalimu wachache wanadhani wao wana haki zaidi kiasi cha kuanzisha kikundi haramu. Jeshi la polisi na vyombo vingine vya dola viwapelekee moto wa kutosha.
Maoni kaomba asaidiwe!
Mbona walimu ma jobless wako wengi tuu mtaani na hawasakwi?View attachment 3301452
Mpendwa Baba Askofu Mwamakula!
Tunaomba msaada wa kumsaidia mwalimu Mohonia Joseph aliyekamatwa jana. Huyo ni mwalimu mwenzetu tusiokuwa na ajira ambao tulianzisha vuguvugu la kudai haki ya ajira. Alikamatwa jana majira ya saa 6 mchana na kushikiliwa katika Kituo cha Polisi Nyamagana, Mwanza na bado yupo ndani hadi sasa.
Hii imetokea baada ya sisi kutaka kuongea na waandishi wa habari (Press Conference) siku ya juzi siku ya Alhamisi ili kuueleza umma juu ya uhalisia wa maisha yetu pamoja na haki ya kuajiriwa. Ilishindikana kufanyika mubashara (LIVE) kama tulivyopanga kwa kuvurugwa na Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza.
Hata hivyo ilifanyika baadaye lakini mwenzetu alikamatwa wakati akishughulikia utaratibu ili iachiwe kwa umma kupitia link ya mitandao ya kijamii na vyombo mbalimbali za habari nchini.
Kwa tetesi pia inasemekana wengine wenzetu waliofanikiwa kufika kwenye Press Conference nao wanasakwa ili kutiwa nguvuni mwa polisi.
Ndimi,
Mwakilishi wa walimu wasiokuwa na ajira,
12 Aprili 2025
View attachment 3301452
Walitolewa makwao na kwenda kusomeshwa kwa lazima huo ualimu? Au una maana gani?Kwanini mnawasomesha watu kada ambazo hamna ajira?
Mnapotezatu hela na muda wa watu.
Fungeni hizo kozi kwa miaka mitano
Walimu ni mishumaa inayoungua ili kuangaza maisha ya Wanasiasa.View attachment 3301452
Mpendwa Baba Askofu Mwamakula!
Tunaomba msaada wa kumsaidia mwalimu Mohonia Joseph aliyekamatwa jana. Huyo ni mwalimu mwenzetu tusiokuwa na ajira ambao tulianzisha vuguvugu la kudai haki ya ajira. Alikamatwa jana majira ya saa 6 mchana na kushikiliwa katika Kituo cha Polisi Nyamagana, Mwanza na bado yupo ndani hadi sasa.
Hii imetokea baada ya sisi kutaka kuongea na waandishi wa habari (Press Conference) siku ya juzi siku ya Alhamisi ili kuueleza umma juu ya uhalisia wa maisha yetu pamoja na haki ya kuajiriwa. Ilishindikana kufanyika mubashara (LIVE) kama tulivyopanga kwa kuvurugwa na Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza.
Hata hivyo ilifanyika baadaye lakini mwenzetu alikamatwa wakati akishughulikia utaratibu ili iachiwe kwa umma kupitia link ya mitandao ya kijamii na vyombo mbalimbali za habari nchini.
Kwa tetesi pia inasemekana wengine wenzetu waliofanikiwa kufika kwenye Press Conference nao wanasakwa ili kutiwa nguvuni mwa polisi.
Ndimi,
Mwakilishi wa walimu wasiokuwa na ajira,
12 Aprili 2025
View attachment 3301452
Wanajipambania kvp wakati wanataka kuajiriwa, kujipambania ni kutokutegemea msaada wa mwngnHawa Wanajiita NATO nimetokea kuwakubali yaani hawana resources zozote Ila wanajipambania .
I love this spirit
Press conference haihitaji usajili mkuuWamesajiliwa wapi na hicho chama chao na wanae mshitakia ni nani nchi....!
Waacheni malast born wa taifa walie lieHicho kikundi kisambaratishwe kabisa. Haki iliyopo ni ya elimu ila kuajiriwa ni juhudi na bahati. Hicho kikundi ni cha kihuni hakipaswi kuchekewa. Wahandisi, wahasibu, madaktari, maafisa misitu na wataalamu wengine hawana vikundi vya kihuni ila waalimu wachache wanadhani wao wana haki zaidi kiasi cha kuanzisha kikundi haramu. Jeshi la polisi na vyombo vingine vya dola viwapelekee moto wa kutosha.